Uganda: Bunge Live - Sikiliza Uendeshwaji wa Bunge la Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uganda: Bunge Live - Sikiliza Uendeshwaji wa Bunge la Uganda

Discussion in 'International Forum' started by Arusha Mambo, Jun 27, 2012.

 1. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sikiliza Bunge la Uganda linavyoendeshwa ili kuona control na Order za Spika wa Bunge hilo,

  Hali ni kama Tanzania au zaidi kwa sababu kuna saa licha ya Mawaziri kuchekwa wazi wazi na majibu yao kukataliwa na Wabunge kwa kukosa uhalisia, pia hawasikilizani, Mawaziri wa Nchi hiyo wanabanwa sana na Wabunge.

  Kuanzia kesho June 28, tutakuwa pia tunawaunganisha na Kipindi cha Bunge cha Uganda. mara baada ya kikao cha Bunge la Tanzania kumalizika Sa7mchana

  Ili kusikilizabonyeza hapa:
  http://tunein.com/tuner/?StationId=158711&

  Redio ikifunguka usiache ku
  LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sidhani kama linatusadia kutatua matatizo yetu
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wewe ni mganda??tooka hapa!
   
 4. M

  MVENGEVENGE Senior Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kazi nzuri tuunganishe na tutajaribu kuwasaidia wabunge wetu !
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
 6. c

  chama JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bunge letu hawawezi kuelewana ni mchanganyiko maalum; majambazi, wanasheria, marepa, wacheza ngoma za kienyeji, wezi, waganga wa kienyeji; mission town yaani kazi ipo

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
Loading...