Ugali ni chakula kisicho na faida katika ubongo

Kwani lazima tufanye au kuiga kila kitu kutoka marekani jamani what if kama wametoa hiyo research based on the fact that hawapendi ugali?

By the way kama ugali unadumaza akili vipi kwa asilimia kubwa ya wanafunzi tuliosoma na wanaoendelea kusoma shule za boarding na wanafanya vizuri na wanaendelea kufanya vizuri?
 
Ndugu wewe ni hatari. Dahhhh umenifurahisha sana.
Haiwezekani mtu timamu kwa siku hizi aishangilie CCM inayotunga sheria ya madini kwa dharura huku madini si chipsi kwamba zikilala zinaharibika
Matatizo ya watanzania ni makubwa mno, na si watanzania tu Waafrika kiujumla, ninaimani ili kujua matatizo hayo inabidi kuchunguzwa hata tunachokula "ugali"
Tuliwalaumu kina chief mangungo kumbe yao wazungu wameyaandika kwenye vitabu,
Ya sasa yaliandikwa na kufundishwa, kina mafungo wataonekana ni na generous.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani huku tz ambaye hakuwahi kula ugali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ndo maana na wajinga ni wengi
Kwani mwili mzima ni ubongo tuuh..! Umekukuza afu unaudhalilisha ugali..!

In tz kuna food security kama kuna mahindi na maharage ya kutosha sasa ikiwa ubongo unalala kwa kula ugali mmmh ni huzuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma nilichokujibu pale juu ni kuwa ulidai sasa kwani mwili ni akili tu?? Ndo nami nikakuliza mwili bila akili una faida gani?!

Lakini kwa hii iliyo rise uko sahihi !

Cairo's


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ndo maana na wajinga ni wengi







Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuuliza mreta mada, aniambie kazi ya protein mwilini..!
kisha arudi huko form three afanye food test athibitishe mahindi hayana protein..!

Na pia atwambie kiin cha hindi kiko kimeundwa na aina gani ya chakula (protein),pia aseme mahindi(ugali) ni starch/wanga je, end product ya starch in ipi(amino acid/protein) na kisha aseme role ya amino acid kwenye ubongo. Huyu ndugu kilaza tu..!

Pia ujue mwili unahitaji nduvu na wanga ni mhimu sana kwenye mfumo wa kutengeneza/kugenerate nguvu ambazo hata huo ubongo kama sehemu ya mwili unazihitaji ili kufanya kazi.

Biology ni somo ambalo ni mhimu sana ata km siyo daktari na wengi tulilikimbia mapema I thanks God nimesoma bios ordinary seconday but nilielewa mengi sana..!
 
Kwa taarifa yenu ugali ulianzia mexico Kwa indigenous the mayans and aztec. Ukisoma historia ya ancient civilization. Hadi leo indigenous was mexico Honduras el Salvador wanakula ugali na wanajivunia wenyeww wanaita callito. Sisi tunaotawaliwa na mbumbumbu Sizonje et tunadharau ugali
Oxford dictionary wameeleza ugali ni east african food.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba..! siyo kila msosi/chakula tunakula kwa ajili ya ubongo..!

Anyway niambie kazi ya protein mwilini..! Kisha urudi kuthibisha kama mahindi(kiini) hakina protein! Am not that cheap brain...! Behave sawa.
mjomba, umejibu nilichoandika mimi au ulikuwa unajiandikia ili kuongeza idadi ya post, kama ulikuwa unanijibu mimi basi nakushauri usome tena nilichoandika na ujue mimi si size yako kwenye maswala nutrition
 
Ugali wa mahindi ni "starch" au "wanga" ambayo huzalisha glucose, kama end product on hydrolysis. Kwa mnaokumbuka vizuri biochemistry glucose ni major fuel ya ubongo. Yaaani unatumia karibu 75% ya glucose yote mwilini hivyo kusema haina kazi "ni un-scientific" labda njoo na utafiti mpya au ufafanuzi mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida tunakula large quantities, unakuta mtu anakula dona mlima kilimanjaro, mboga za kuchovya, lazima mwili uchoke during digestion, ndio akili itachoka pia.

Shida we eat large quantities of "nshima"!!
 
Nimeuuliza mreta mada, aniambie kazi ya protein mwilini..!
kisha arudi huko form three afanye food test athibitishe mahindi hayana protein..!

Na pia atwambie kiin cha hindi kiko kimeundwa na aina gani ya chakula (protein),pia aseme mahindi(ugali) ni starch/wanga je, end product ya starch in ipi(amino acid/protein) na kisha aseme role ya amino acid kwenye ubongo. Huyu ndugu kilaza tu..!

Pia ujue mwili unahitaji nduvu na wanga ni mhimu sana kwenye mfumo wa kutengeneza/kugenerate nguvu ambazo hata huo ubongo kama sehemu ya mwili unazihitaji ili kufanya kazi.

Biology ni somo ambalo ni mhimu sana ata km siyo daktari na wengi tulilikimbia mapema I thanks God nimesoma bios ordinary seconday but nilielewa mengi sana..!
Kweli ww umeishia form two kusoma biology *end product ya starch siyo amino acids /protein kama unavyodai* starch is a polysaccharides of monosaccharides glucose, galactose or fructose. Mbili za mwisho ni isomers ambazo mwisho wa siku huwa glucose.
 
FB_IMG_1502170787114.jpg
 
By the way ugari ni chakula poa sana but wenzetu hawaujui kuupika.one day alitutembelea shem wetu mmarekani by birth ni wa kiume wakawa wamemtengenezea dongo kama kilo moja hv na sato wa kukaangwa alikula mpaka akamaliza na aliupenda kishenz siku anaondoka alipanda na kiloba cha unga kwenye ndege kwenda nao LA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom