Ugaidi unavyotengenezwa

MLO

Senior Member
Apr 2, 2012
197
84
kila kukicha tanzania kunabadilika

ungaidi unatengenezwa hivi
1. Serkali dhaifu isiyojali wananchi wake
2. Makundi ya watu kukandamizwa yakidai haki zao
3.vyombo vya dola kutumika kulinda maslahi ya watu wachache
4. Chama kinachotawala kukosa mwelekeo wa kitaifa na kuamua kuwashughulikia wanaokikosoa
5.malalamiko ya makundi kumalizwa kwa kukandamizwa
6.mahakama kuingiliwa katika maamuzi yake
7.kuuwa kwa watoa taarifa hasi za serikali.
8.wananchi kudharauliwa na viongozi waliowachagua
9 watu kukata tamaa na viongozi wao katika kuwatetea
10 kugawanywa kwa itikadi ya makundi
angalia hayo ipime tanzania itapenya vipi.
Mungu tuangalia watanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom