Ugaidi: Kilio kimetanda kwa jirani zetu Somalia jijini Mogadishu kwa siku ya sita sasa

Nimtoe? Kivipi yaani? Jombaa, tupo kwenye vita dhidi ya hawa washenzi. Huu uozo wao hatari huwa wanaueneza sanasana kwenye mitandao wakiwatafuta vijana malofa ambao wanataka kuungana nao. Wewe unadhani ni mzaha? Watu kama huyo shangazi yenu wana uhuru wa kufanya watakavyo kwasababu hawapo Kenya. Ila wakiingia tu kwenye nane za ATPU, hamna lingine, ni shaba kichwani.
Faiza anahusikaje?
 
Wewe nawe kilaza tu, Al shabaab sio root cause ya problem, natamani wewe na Rais wako muelewe ila ndio scope yenu imeishia hapo.
 
Sijakuelewa, unamaanisha kwamba mabwana zako wataendelea kuwachinja wasomali wenzao, waislamu wenzao na kuharibu nchi yao? Kama walivokuwa wanafanya kwa miaka mingi, kabla KDF iingie Somaaliya hadi KDF itakapotoka kwao? Alafu kwa taarifa yako vikosi vya Kenya haviko Ugandishu, kama ilivokuwa inaitwa hapo awali UPDF walipokuwa wanadumisha amani.

Nyie mmeingia kwenye mchezo wa mataifa makubwa na mnatumika kutimiza azma na interests zao, ondokeni Somalia. Eti mnapambana na Al shabaab, Wewe na Viongozi wenu wote ni Molofa tu,
 
Nyie mmeingia kwenye mchezo wa mataifa makubwa na mnatumika kutimiza Eti mnapambana na Al shabaab, Wewe na Viongozi wenu wote ni Molofa tu,
Wewe nawe kilaza tu, Al shabaab sio root cause ya problem, natamani wewe na Rais wako muelewe ila ndio scope yenu imeishia hapo.
Sina muda wa kujibizana na mtu ambaye hana facts na ambaye haelewi kwa undani kinachojadiliwa. Mada ni kuhusu alshabaab wanavowaua wasomali na waislamu wenzao. Yaani hawana legitimacy yeyote ya kusema kwamba uzombie wao wanaufanya kwasababu ya Kenya au Ethiopia au AMISOM. Walikuwa wanawachinja wasomali wenzao hata kabla vikosi vya Kenya na AMISOM kuingia nchini Somalia. Alafu acha kujiabisha, fanya risechi kidogo ujue ni kwanini KDF waliingia Somalia. Alshabaab ndio walianza kuingia Kenya na kuteka watalii na kuvuruga amani maeneo ya pwani ya Kenya. Kabla ya hapo Kenya haikuwa na bifu wala shughuli yeyote na vita vyao.
 
Faiza anahusikaje?
Anajua mwenyewe. Mfate kwenye PM yake umuulize. Ama kama wewe ni wakili wake muulize kwanini ameingia kwenye uzi huu. Kisha akazamia kusikojulikana, baada ya kuona kwamba hakukaliki.
 
Somalia ni mauaji tu,,mauaji mpaka lini,kw nn lkn alshabab wanapenda kuua watu wasio na atia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema mwaka uliopita kwamba wataendelea kuwachinja chinja wasomali wenzao wasiokuwa na hatia. Eti kwasababu Marekani walihamisha ubalozi wao nchini Israel, kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem. :confused:
 
Sina muda wa kujibizana na mtu ambaye hana facts na ambaye haelewi kwa undani kinachojadiliwa. Mada ni kuhusu alshabaab wanavowaua wasomali na waislamu wenzao. Yaani hawana legitimacy yeyote ya kusema kwamba uzombie wao wanaufanya kwasababu ya Kenya au Ethiopia au AMISOM. Walikuwa wanawachinja wasomali wenzao hata kabla vikosi vya Kenya na AMISOM kuingia nchini Somalia. Alafu acha kujiabisha, fanya risechi kidogo ujue ni kwanini KDF waliingia Somalia. Alshabaab ndio walianza kuingia Kenya na kuteka watalii na kuvuruga amani maeneo ya pwani ya Kenya. Kabla ya hapo Kenya haikuwa na bifu wala shughuli yeyote na vita vyao.

Ok I don’t blame you or KDF, Someone (KDF soldier) told me how it pays off big time being in Somalia , ile pesa wanajeshi wenu hulipwa huko ndio inawafanya waendelee kubaki huko, besides umaskini pia huchangia, ingekuwa ni watu matajiri wasingeingia kwenye mtego wa kijinga kutumika kwenye maslahi mapana ya mataifa dhalimu ya dunia hii. God sees everything. There are reasons beyond your scope that Somalia should be destabilized forever, go read usiwe kilaza.
 
Endelea kusoma blog za kipuuzi na conspiracy za machizi. Mimi nakupa facts. KDF ipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Unajua AMISOM ni nini? Alafu naona unajaribu kugeuza mada ya uzi huu baada ya kuona kwamba mazombie ambao huwa unawaunga mkono ni malofa ambao hawajielewi. Nieleze kwanini wanawaua wasomalia ambao ni ndugu zao na waislamu wenzao. Vifo na uharibifu wote huo ni wa nini ndani ya nchi yao?
 
Labda nikuulize swali rahisi uelewe,
Who funds the Al shabaab? Who gives them weapons?
 
Good that you went into details, go deep you’ll see more from the underworld. Just knowing that the Poor ordinary alshabaab cant afford shoes, leave alone the AK47 and the explosives they use to fight KDF and the innocent people in somalia and Kenya.
Jombaa, kwenye masuala kama haya, sanasana ya Somalia, huwa sikurupuki kama unavodhania. Najua ulitaka kuwalaumu wamarekani, ila hizi enzi za wikileaks sio za kisirisiri kama zamani. Alshabaab wamebanwa na wanachokifanya ni kuwatesa wasomalia kupitia ada ambazo wanawatoza kwenye bidhaa zote. Hadi kwenye usafiri kupitia roadblocks zao. Hizo ndio hela ambazo wanatumia kufadhili uhuni wao. Alafu juu yake wanapata ufadhili kutoka kwa Qatar na UAE. Nchi ya Uturuki pekee yake ndio ina nia 'nzuri' na Somalia. Kwasababu angalau wao wakivuna wanajenga Mogadishu, hospitali vyuo vikuu n.k. Hata kwenye shambulizi hili waturuki wamewapeleka majeruhi wa kisomali zaidi ya mia kwa matibabu, hadi kule kwao Uturuki.
 
Mpaka mwondoke kwao.
Kama kweli wanataka tuondoke, wangetulia tu hadi mwaka ujao, Ambapo AMISOM wanatarajiwa kuondoka Somalia... Lakini sidhani kwamba wanataka tutoke manake kila wanapo fanya shambulizi, wanakumbusha dunianzima kwamba bado wapo na wana nia na uwezo kwahivyo hio inafanya AMISOM iombe muda zaidi kuwamaliza kabisa.

AMISOM ikishatoka alshabaab watakua wamekosa adui mkubwa... Kumbuka hata kabla AMISOM iende Somalia, Alshabaab walikua ndani ya Islamic Courts Union (ICU) na bado walikua wakipigana na vikosi vyengine kutoka ukoo/clans zengine za kisomali... Sahii wanajifanya kwamba eti wanapigania wasomali kwasababu kuna majeshi ya nje (AMISOM) lakini ni uongo mtupu, hayo majeshi yote ya nje yakitoka Alshabaab bado watatafuta kisababu chengine cha kuendeleza vita vya jihad.... Usisahau ndani ya Alshabaab kuna viongozi na makamanda wengi ambao wametoka nchi za kigenu kama UK,US, uarabuni... alafu mafunzo yao ya kutengeneza mabomu hufundishwa na Alqaeda wa kutoka uarabuni, hata hela na mabunduki, risasi, malighafi za kutengeneza vilipuzi vyote hutoka uarabunu...

Ukipata mda angalia hii documentary ya mji wa Kismayu ambao ulikua ulikombolewa na KDF

Sahii ukifika huko hautaona KDF hata mmoja, mji wenyewe unalindwa na wasomali wenyewe, 90% ya wakaazi wa Kismayu wanasema wanapenda vile Kismayu mji safi wenye amani kuliko miji yote mikuu kusini mwa Somalia, wanaunga mkono jitihada za serekali ya Jubaland kwa kuregesha biashara, amani, utulivu..etc... Lakini bado licha ya hayo yote, Bado alshabaab walishambulia mkahawa/hoteli.

Hii inadhihirisha vile Alshabaab wataendelea kugeuza hadithi ili wandeleze vita, kile kitu ambacho kitawafurasha tu ni Kama Somalia itakua Islamic caliphate.... Na hata Serekali kuu inayotambulika sasa ya Somalia iamue hivi leo kwamba Somalia itakua caliphate na sheria-law ndo katiba mpya ya Islamic State of Somalia, nina uhakika bado hao alshabaab wakinyimwa mamlaka ya kuongoza watatafuta sababu ya kuendelea kupigana na hio serekali hadi hao alshabaab ndo wawe hao ndo serekali pekee bila mpinzani.
 
Haya ndiyo matunda ya kuzlfuata dini za kigeni. Ukiangalia historia ya hizi dini ni kwamba zilienezwa kwa upanga.

Wakati tukijidai kuwa tunapambana na ubeberu wa wazungu, hakika ubeberu wa waarabu (uislamu) ndiyo tishio kubwa kwa Afrika.

Vurugu karibia zote Afrika kwa sasa ni matokeo ya kufuata mila potofu za waarabu (uislamu). Al-Shabab, Boko Haram na jihadi za kipumbavu Mali, Burkina Faso na Msumbiji ni matokeo ya kuruhusu mila potofu za waarabu kutamalaki Afrika.

Baadhi ya watu weusi kwa ujinga wao wamekubali kuwa vibaraka wa kueneza ubeberu wa waarabu. Halafu hao akina abdallah na muhammed weusi wakienda uarabuni wanachukiwa na waarabu kama kawaida.

Myanmar walishaona dalili za hii saratani mapema wakawafurusha magaidi wote wa Rohingya.

India nao wanajitahidi kuwadhibiti magaidi wasije wakageuka shithole kama Pakistan.
 
Nyie endeleeni kupambana na hao mujahdeen muhamad al nasoor,acheni kulialia

Kama ulikuwa hujui hao ndo ndugu wa bwana ntume waache wapambane wenyewe ukiingilia ugomvi wao,umeingia kwenye mtego,watakufurahisha...
 
Back
Top Bottom