Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,396
Kila zao lina changamoto zake, usione wanapiga pesa tu ingia wewe ndo ujue km pesa inapigwa au wanalia wakijifungia vyumbani mwao
wewe ndiyo umeelewa ulichoandikaUmesoma lakini na kuelewa nilichoandika?!
KawajenseNdio mkuu
Kawajense
Basi wewe sio mwenyeji huko Mpanda.Sijakuelewa
Basi wewe sio mwenyeji huko Mpanda.
Semeni ukweli, hasara ipo. Ufuta hautaki mvua kwa mfano ukishakauka. Umepanga kwenda kuvuna kesho leo mvua imenyesha unakuwa mweusi....una faida?Watu wanalima na wanapata kila mwaka, hakuna mkulima aliachwa na hasara kwenye ufuta
Unatia huruma sana! Yaani unashindwa kuilewa post ambayo haifiki hata maneno 100!!wewe ndiyo umeelewa ulichoandika
Na probability ya kunyesha mvua msimu wa mavuno ni asilimia ngapi japo kwa makisio?!Semeni ukweli, hasara ipo. Ufuta hautaki mvua kwa mfano ukishakauka. Umepanga kwenda kuvuna kesho leo mvua imenyesha unakuwa mweusi....una faida?
Ninachotaka kusema, watu wanaoshawishi kilimo hawasemi changamoto hata siku 1. Wao faida tu.Na probability ya kunyesha mvua msimu wa mavuno ni asilimia ngapi japo kwa makisio?!
Mambo mengine ni ya kujiongeza tu kwa sababu hakuna biashara hata moja duniani isiyo na changamoto!Ninachotaka kusema, watu wanaoshawishi kilimo hawasemi changamoto hata siku 1. Wao faida tu.
Nyanya, vitunguu, ufugaji hasa wa kuku, matikiti....sasa mmehamia ufuta. Waambieni waje tu kwa fujo with heada full of expectations.Mambo mengine ni ya kujiongeza tu kwa sababu hakuna biashara hata moja duniani isiyo na changamoto!
acheni ujinga kama mnapiga hela kaeni kimya kuna zimwi likitia maguu huko mtakula hasara ya karne shauri yenu...
Mwambie kama anapata faida kubwa hivyo wanunue trekta waongezee mashamba full stopNyanya, vitunguu, ufugaji hasa wa kuku, matikiti....sasa mmehamia ufuta. Waambieni waje tu kwa fujo with heada full of expectations.
Mi nalima ufuta mwaka wa 4 huu najua michezo yote na najua hasara pia. Kwahiyo mtu hanitishi kwa lolote.
Nyanya, vitunguu, ufugaji hasa wa kuku, matikiti....sasa mmehamia ufuta. Waambieni waje tu kwa fujo with heada full of expectations.
Mi nalima ufuta mwaka wa 4 huu najua michezo yote na najua hasara pia. Kwahiyo mtu hanitishi kwa lolote.
Ukiitiwa fursa ujue we ndo furs....malizia
Yote hayo yanatoka wapi Mheshimiwa?! Mleta mada kazungumza anachokijua! Na kila mmoja anazungumza anachokijua! Na binafsi yangu hakuna popote niliposema nalima ufuta au kuwahamasisha watu wakalime ufuta! Mimi nimezungumzia uzoefu wa ndugu zangu ambao wamejikita kwenye hilo zao! Na unlike mikoa mingine, mikoa niliyotaja mimi ni ile ambayo ufuta ni kama zao lao la asili! Hata wakati ufuta hauna pesa, watu walikuwa wanalima; kwa sababu wamekuta babu zao wanalima hata kabla Nyerere hajaipatia Tanganyika uhuru!!Nyanya, vitunguu, ufugaji hasa wa kuku, matikiti....sasa mmehamia ufuta. Waambieni waje tu kwa fujo with heada full of expectations.
Mi nalima ufuta mwaka wa 4 huu najua michezo yote na najua hasara pia. Kwahiyo mtu hanitishi kwa lolote.
Hata Dodoma tu linakubali sana MkuuKijiji gani mkuu?
Mikoa gani hili zao linakubali?