Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

Ni vizuri basi ukaweka na ufafanuzi mzuri wa jinsi ya kulima, gharama zake zukoje kwa heka na unapata kilo ngapi kwa heka, itasaidia zaidi

Kijijini kwenu ni wapi kuna fursa zipi na zipi?
Sijaelewa swali; lakini kama unachouliza ni ufuta; kiujumla sehemu kubwa ya mkoa wa Lindi ufuta unakubali! Lakini kama unaulizia opportunities za pale kijijini, kwangu inaweza kuwa ngumu kidogo kukujibu kwa sababu dah, siri yangu manake ni aibu!

Generally, shughuli za kiuchumi wanazozungumzia ni kilimo, hususani ufuta, korosho na mazao ya bustani kv nyanya na vitunguu! bila kusahau biashara ingawaje kwa biashara sidhani kama ni good idea kwa sababu pale tayari kuna biashara zinazoendana na mazingira ya pale kwa muda mrefu.
 
Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
Ndo changamoto za kibiashara hizo! Anyway, baada ya kuchunguza uligundua tatizo lilikuwa nini?! Nakumbuka Mpwa wangu badala ya kumaliza chuo, yeye alirudi bush na kufuga kuku wa mayai! Batch ya kwanza, ilikuwa very successful, lakini batch ya pili, alichoma! WHY? Alinunua dawa ambazo zilikuwa zime-expire huku zikiwa zimebadilishwa label!
 
Acha hadithi kama inakulipa ongeza shamba usitushawishi kutupa hela
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom