Ufunuo wa nyakati za mwisho utimilifu wa dahari na kikomo cha muda

Mshana Jr

Bahati mbaya kabisa hii mada nimeiona late.
Lakini hakuna jambo gumu hapo

Soma Hapa chini:

Ufunuo wa Yohana 10:7
[7]isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowahubiri watumishi wake hao manabii.

Yaani usipate tabu. Siri ya biblia nzima iko wazi na imewekwa wazi kwa mujibu wa andiko hilo hapo Juu. Ukitaka kuijua inabidi umpata huyo malaika wa Saba. Kulikuwa na makanisa saba kila kanisa lina mjumbe/malaika wake.
Ila Mungu aliahidi kuwa katika siku za sauti za malaika wa Saba atakapokuwa tayari kupiga Baragumu siri yooote ya Mungu utamalizika, itawekwa wazi.
Kwa hiyo shida siyo siri shida ni umpata huyo mjumbe basi utapata siri yote kuanzia mwanzo hadi ufunuo.
Siri iko wazi sasa ilifichwa ili ifunuliwe wakati huu kuanzia mwanzo hadi ufunuo
Natamani ningepata muda wa kutosha kuyaeleza yote haya lakini muda hautoshi ila ni halisia na ya kustaajabisha mnoo
 
Ooh... Asante sana please endelea tafadhali, ni wengi wangetaka kufahamu zaidi
 
Ni vema ukatupa msaada kuujua ukweli huo
 
Hapa inabidi tuitishe kikao cha dharura aisee huu uzi ni mzito sana na ili uendelee mods uacheni wadau waendelee kutupa maarifa cc mshana
 
Nimejiuliza sana maana hata yule joka alikua na vichwa 7 na yule mnyama wa baharini alikua na vichwa 7
 
So hiyo siri,ipo wazi now?
Mshana Jr

Bahati mbaya kabisa hii mada nimeiona late.
Lakini hakuna jambo gumu hapo

Soma Hapa chini:

Ufunuo wa Yohana 10:7
[7]isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowahubiri watumishi wake hao manabii.

Yaani usipate tabu. Siri ya biblia nzima iko wazi na imewekwa wazi kwa mujibu wa andiko hilo hapo Juu. Ukitaka kuijua inabidi umpata huyo malaika wa Saba. Kulikuwa na makanisa saba kila kanisa lina mjumbe/malaika wake.
Ila Mungu aliahidi kuwa katika siku za sauti za malaika wa Saba atakapokuwa tayari kupiga Baragumu siri yooote ya Mungu utamalizika, itawekwa wazi.
Kwa hiyo shida siyo siri shida ni umpata huyo mjumbe basi utapata siri yote kuanzia mwanzo hadi ufunuo.
Siri iko wazi sasa ilifichwa ili ifunuliwe wakati huu kuanzia mwanzo hadi ufunuo
Natamani ningepata muda wa kutosha kuyaeleza yote haya lakini muda hautoshi ila ni halisia na ya kustaajabisha mnoo
 
Kisha ikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Ufu 18:4:

ONYO LA MWISHO
 
Mduara wa saba,vitasa saba,vinara saba, taa saba nakadhalika ulikuwa umebeba ujumbe kuhusu majira saba ya sauti kuu saba za muumba zilizotekwa na dunia na kugeuzwa kuwa nguvu za giza.Sauti izo zilipokelewa kwa mfumo huu:-

1. Kerubi (Ezekieli 28:15)
2.Adamu wa kwanza (Mwanzo 2:15)
3.Musa (kutoka 3:10)
4.Eliya Mtishibi (1Falme 17:1)
5.Yesu (matendo 10:38)
6.Adamu wa mwisho (1korintho 15:44-49)
7.Miaka 1000 (Isaya 33:6)

Izo ndizo sauti kuu saba zilizoachiliwa kuongoza majira(wakati) na kutimiza mistari hiyo iliyoandikwa.

Baada ya kupita izo majira ndipo tumefika kwenye 1korintho 15:24-28 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.

Kwamba sasa tupo katika majira ya Muumba ambaye ni Chanzo Halisi (warumi 11:36) amekabidhiwa ufalme,utawala, mamlaka na nguvu.

Majira zilizopita zilikuwa za waliotumwa na yeye alikuwa anatuma sauti na nafsi zake tu lakini sasa kaja mwenyewe.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom