Ufunguzi wa tawi la CRDB Chato: Kimei asema vyuma vimelegea nchini, Magufuli aziomba benki zipunguze riba

Na siku ya maandamano Mbowe na Lowasa wakae mstari mbele siyo kusakizia wana wa wenzenu tu!

oyaa nenda kwenye page ya Mange ukampe huu ushauri ndiyo kaandaa haya maandamano.

NB:
Punguza jazba buku 7 imeshaingia mfukoni kwako huna haja ya kutokwa mapovu kama umemeza mnara wa sabuni.
 
Nakushukuru kwa kutii sheria bila shuruti wahabarishe na wana Ufipa wenzio hapo Kinondoni!
 
Hiyo amani inalindwaje! Hso waasisi wa taifa hili mbona waliendeleza hiyo amani na wananchi wakiwa na uhuru ambao unahusisha maandamano. Tuliandamana sana hata wakati wa chama kimoja; wakati mwingine tukiwapinga makaburu na mabeberu! Wakati mwingine amani inayolazimishwa ni amani isiyodumu.
 
Maandamano yana utaratibu wake siyo swala la kukurupuka tu!
 
Sawa, Mange na Chadema ni lazima walielewe hilo!
Wakati mwingine 'watoto' hufanya mzaa wakitarajia kabia reaction yako kama mzazi ambayo inaonyesha jinsi husivyoweza kuona mbali zaidi ya nguvu zako. Watu wa pembeni wazio jua wanabaki kushangaa jinsi unavyokuza kisichokuwepo!
 
Serikali haiamini katika mizaha!
 
Lkn tu isije ikafika mahali CRDB wakakwambia tawi lao Chato halina wateja wa kutosha, hapo lazima watakujua we ni nani kama ulivowaambia waandamanaji leo...hongera sana Mr.President!
Screenshot_2018-03-09-20-08-11-1.png
 
Bwahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahhahahaha................lol
 
Phd uchwara ya kubangua korosho na utafiti wa mabenki wapi na wapi!?

Hivi alipoamua kukurupuka na kununua ndege alifanya utafiti ili kujua kuna wasafiri wa kutosha nchini wa usafiri wa ndege ili kuiwezesha ATCL ipate faida!?

Mtafiti UCHWARA

Lkn tu isije ikafika mahali CRDB wakakwambia tawi lao Chato halina wateja wa kutosha, hapo lazima watakujua we ni nani kama ulivowaambia waandamanaji leo...hongera sana Mr.President!
View attachment 709352
 
Back
Top Bottom