Ufunguzi wa kampeni za CCM waisimamisha kata ya Bunju watu ni wengi mno mfano wa kampeni za uchaguzi mkuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,445
CCM kata ya Bunju wanafungua kampeni zao katika viwanja vya shule ya Bunju.

Watu ni wengi mno baadhi wakiwa wamevalia sare za chama na wengine ni wananchi wa kawaida waliofunga biashara zao ili kuwasikiliza wagombea wa CCM wakinadi sera zao.

Nitawajuza zaidi yatakayojiri.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom