Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

CCM kwa CCM hatutendeani haki . . . Kukua atazaa myai ya dhuluma au haki
CCM ndo inaleta mikataba mibovu
Tumpe likizo JK
Wana CCM wamkabidhi madaraka CHADEMA Kumuenzi baba wa Taifa

CCM imegeuza nchi yetu kwa walowezi ambao wanajifanya wawekezaji

CCM ukiwa mlokole hupwei uaskofu
Ukiwa mswalihina hupewi Uimamu wala ushehe

Ukitekeleza wajibu wako hutambuliki

Siasa bwana sasa Shibuda alitakiwa atuambie wanafanya vipi huko CCM katika rushwa na sio kulia majukwaani
 
Haaa haaa
Anadai Mh. Slaa anayesubiri Kuapishwa
Mh. Mbowe na kamanda Wa Anga
Baregu . . Kamanda wa Ngome
 
Sasa salaamu Maalumu toka ZNZ . . .
Amekuja na mshenga . . . kwani hii ni harusi . . .
Mshenga ni Mzee Said Mzee
Bwana Harsi ni Mh. Slaa, kiboko ya Mafisadi

Tumepata taarifa Bibi harusi ana matatizo ya Sukari Kushuka

Slaa amepewa kazi ya kuipandisha sukari ya Bi harusi hadi aondoike Ikulu
 
uchaguzi huu si wa Simba na yanga

Slaa mnamjua ana record nzuri, iliyotukuka ukilinganisha na record ya CCM
Slaa alisimama bungeni na kusema wabunge tunawanyonya wananchi
Posho 120,000 mshahara TZS 6M (kama sijakosea)
Wabunge wa CUF na CCM wakamzomea

Kwa hiyo mwali atamweza saizi yake

Slaa akawaambia kama mishahara ni siri yeye anaweka hadharani
 
Sasa Marando anapanda . . dakika 15, anazungumzia maadili ya Taifa na Ufisadi
 
Full Combati

Anaomba kwanza kutoa ujumbe kwa waamndishi wa habari

Msije kulinganisha kuanguka kwa Makani na kwa JK

Makani ana 75 JK 57. Wapi nwa wapi?
 
Anasema Lissu amemtuma aweke Pingamizi Jumatatu

Sheria hairuhusu Kuhonga

Kawaambia wana Kagera atawaletea Meli Mpya . . Hongo hiyo

Kuongeza Mishahara . . . Hongo . . .

Tendwa ana wajibu wa Kumsimamisha Jk asigombee


Aisee hawa jamaa wamejipanga
 
Waungwana,could your comments wait till Superman finishes updating us kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom