Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,770
- 59,118
Sasa kama mama yeye hajui kupika atamfundisha nini dada? Na kama hilo wazo la kumpeleka kozi hanalo mume ale wapi kama sio nje ya nyumbani?Asilimia kubwa ya wadada wanakuja hawajuhi kupika kwa kuwa wametokea familia masikini hivyo chakula anachojua ni cha kuchemsha tu.
Unachopaswa kufanya kama wife ni kumpiga shule huyo dada basi, baada ya muda anakuwa na yeye mwalimu.
Nina dada yangu yeye ma house girl wake anawapeleka kozi kabisa ya kupika na anasema itawasaidia hata mkiacha kazi.