Ufungaji wa hii Style ya Kanga ya huyu Mdada inaitwaje?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
13315398_658397930974192_7385221729371056632_n.jpg
 
lubega...
Ila du...hiyo si staili ya kwendea bafuni...
Vitoto vya siku hizi kwa kujiseli...yani hilo ndo pozi la instagram

Ha ha ha, enzi zile utoto kuelekea ujana tulikuwa jirani na mdada mmoja hivi, sasa kila asubuhi Jumamosi au Jumapili ambapo siyo siku za kwenda shule anaamka kufagia uwanja wa nyumbani kwao, mimi inabidi niamke nipande juu ya mwembe fulani home nimpige chabo, akivaa hivyo tu dili linakuwa limebuma, ila kuna ile ya kufunga kupitia kifuani ndiyo nilikuwa naitarget maana kila baada ya dkk kama 5 hivi inafunguka inabidi afunge tena.

Na kwa kujua kwamba hakuna mtu around alikuwa anajiachia kabisa ili afunge vizuri kanga yake, mimi nafaidi zangu, akimaliza nashuka naendelea na mishe zangu. Utoto noma.
 
Back
Top Bottom