crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Shule za msingi mwanafunzi anafundishwa kukariri tu. Mfano, Unaambiwa ukiona mwishoni "now" kwenye kitenzi unaongeza "ing".
Unaingia kwenye chumba cha mtihani unapewa swali huoni kigezo chochote ulichokalilishwa na mwalimu, swali hulielewi , unashindwa hata kutambua tense gani unaulizwa, unaotea, unafeli, unakula viboko. Kazi sana.