Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 346
- 546
Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
Piga mechanical engineering maana kila mtu anayo dream kumiliki ndinga and gari zuri ni lile linalo fanyiwa service regularly...Ndugu, ni ufundi upi kwenye mambo ya vifaa vya electronics ambao unahitaji ujuzi wa hali ya juu na soko lake ni zuri, kuanzia computers, simu, smart tvs, printers & office machinery na kadhalika.
Na vizuri zaidi akajua na kutumia computer hasa kutumia diagnostic programs za kufanyia troubleshooting kutokana na magari mengi kwa sasa kuja na technology ya kutumia sana electronics hasa fuel system, Transmission n.k hivyo electronics bado ina nafasi yake.Piga mechanical engineering maana kila mtu anayo dream kumiliki ndinga and gari zuri ni lile linalo fanyiwa service regularly...
Utapata ela mpaka ukimbie... si unamuona uchebe eti na yeye kawa femous but sizani kama kasomea naisi ni mautundu but nyuma yake lazima awe kafunzwa na alie piga kitabu.
Ukifanikiwa njoo unipe 10% ya mapato yako ya mwezi maana nauakika utatoboa
Kabisa mkuu mm ningekua bado baro baro ningeenda piga huu mziki nile ela za wananchiNa vizuri zaidi akajua na kutumia computer hasa kutumia diagnostic programs za kufanyia troubleshooting kutokana na magari mengi kwa sasa kuja na technology ya kutumia sana electronics hasa fuel system, Transmission n.k hivyo electronics bado ina nafasi yake.
Ndo na mm natafuta jawabu mkuuhivi kuna chuo kinachofundisha hivyo vitu au mambo ni kujiongeza tu huko huko mtaani utajua tu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
DIT,Arusha Tec,Muhimbili wanafundisha x rays,ct scan.hivi kuna chuo kinachofundisha hivyo vitu au mambo ni kujiongeza tu huko huko mtaani utajua tu?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hakuna chuo kinafundisha CT XRAY au LINAC,DIT,Arusha Tec,Muhimbili wanafundisha x rays,ct scan.
Basic principle ni physics tu hakuna kipya chini ya jua.If you learn physic and maths you can learn anything on earth.Namshauri na wengine wenye nia ya kujifunza chochote kile akasikilize video " Elon musk "The scientist & how he teach himself".Wame analyze step kwa step jnsi anajifunza na wamependekeza na vitabu vitano vya muhimu alivyosoma vikambadilisha to another level.Kwa hio hakuna linaloshindokana kama ana nia ya kweli but there is no shortcut.Hakuna chuo kinafundisha CT XRAY au LINAC,
Huko ni Theory(Principal of Operation) tu na kamodel kamoja ka xray au ct, bado unatoka mweupe tu
Hivi vitu vinatofautiona sana kutegemea na vimetengenezwa na kampuni gani
ni utajifunza kwenye ajira tu,
Kwa ufundi wa simu ,computer, printer - VETA
ukipata muda kiapuload maana Amazon anataka Dollar kukipataAnzia hapa.Download hiki kitabu kina mambo mengi ndani yake.Mtandao hapa upo chini ziwezi kuki upload.
ELECTRONICS TROUBLESHOOTING
Daniel.R.Tomal na Aram.S.Aganjanian.
Fourth edition.Humo kina Topic ya Biometric troubleshooting.