Tukiendelea Kujadili Baraza la Mawaziri na Mengine Yanayoendelea Kutokea Inchini Kwetu Tutaona Uwanja wa Siasa Unakuwa Mgumu Zaidi. Tukiangalia Hili Baraza la Mawaziri Tutaona Hawa Walioteuliwa Sio Kutokana na Utendaji Wao Mzuri Hapo Nyuma Ila Jinsi Gani Wanaurafiki na Viongozi Ngazi za Juu CCM. Tukichukulia Hali ya Miasha Ilivyo Sasa Inchini Hawa Mawaziri na Manaibu Wao Wanaingia Kwenye Maofisi Tena Kuendelea Kulinda Back Door Deals na Kuhakikisha Wananchi Wasijue Nini Kinatendeka Ndani ya Hizi Wizara. Kwa Ujumla Wananchi Wengi Tunataka Wabadilishe Utendaji Wao Hasa "Corruptions" na Kuongeza Openness Wizarani Kote. Hatari Nyingine Kubwa ni Kuweka Waziri Katika Wizara Ambapo Hana Experience na Hilo Swala. Hasara Kubwa kwa Wananchi ni Kuona Makosa Makubwa Yakifanyika na Waziri Baadae Kupelekwa Mahakamani na Kujitetea Kwamba Si Yeye Aliesababisha Matumizi Mabaya au Ukosefu wa Ideas Nzuri Kuijenga Inchi Yake. Wengi Tunauhakika Inchi Inazidi Kuharibika na Hakuna Manufaa Yatatokana na Sera za CCM.
Wananchi na Wanajamii Tuendelee Kupressure "Transparency" na Kuonyesha Maovu Inchini. Kikubwa Zaidi Tusukume Uundwaji wa Commission kwa Ajili ya Referendum ya Katiba Mpya ili Inchi Nzima Ipige Kura Mwakani. Kenya Walifanikiwa na Sudan Itafanikiwa January Kwanini Watanzania Tushindwe Hili?