Ufukwe wa ziwa Kindai Singida kuwa kitovu cha hoteli za kitalii baada ya serikali kuhamia Dodoma

Mi Niliamua kuachana na wajinga walipita pita hapa na pale na kudhani wanaelewa mambo ya nchi hii. Njaa ya BK sasa iko wazi lakini ukikutana nao mtaani kama vile wako UK!
Hawa ndio waliokuwa wanashirikiana na wapuuzi wa miaka ile kuandika mabaya ya SGD, waka publicise ukame, njaa, umaskini na sasa wanaaibika.

Wasenge hao Singidani na Kindai zinaufanya mji wa Sgd kuwa na muonekano/mvuto wa kipekee bila kujali ni ziwa, Bwawa au kidimbwi Tena wa Shy na Kahama mshukuru mradi wa wa maji toka ziwa Victoria coz huko kwenu ukame umetamalaki Sgd municipal maji kukatika ni ndoto, maji ni mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka
 
Wafanyakazi wakenya na wahindi watakubali kuja huko?
Waziri kasema watanzania bibaka kwa hio itabidi wageni tu ndio. Waajiriwe
 
wabongo kwa ushamba! tunadhani ili liwe ziwa basi liwe kubwa kama victoria

Cha ajabu wanakubali kuna lake eyasi na vingine ambavyo vipo mikoa mingine! hapa chini ni moja ya uwekezaji ambao watu wanafanya SGD, Wale wenye chuki na SGD Mtabaki na chuki zenu
 
Kama hili Ni ziwa
upload_2016-10-20_13-29-17.png Ziwa Singidani

upload_2016-10-20_13-28-46.png Ziwa natron
Kwanini hili lisiwe ziwa

acheni tabia na ubishi usio na maana ama sivyo nyie ni moja ya wale kati wanne kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni.
 
upload_2016-10-21_15-51-40.png
Kwa wale msiopenda mambo mazuri yatokee SGD, kazi mnayo. Sasa tuna Hospitali ya Rufaa ya kiwango hiki-Sijui mnalijua hilo??
upload_2016-10-21_15-51-40.png
 
Back
Top Bottom