Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,626
hu
huo mkojo unazalisha umeme?Ni kweli ni gharama nafuu sana kufug sungura. Gharama kubwa iko kwenye miundombinu. Kwa maana ya banda la kisasa. Ni vyema kama umekusudia kufuga ukagema na mkojo.
Ni mradi mnzuri kama utaunganisha na mradi wa bustani au kilimo.
Kuhusu soko ni kweli watu wengi hawali nyama ya sungura. Sio kuhusu mazoea. Wanakula kile kinachopatikana kwa wingi na kwa bei nzuri.
Inahitaji ubunifu kidogo tuu kuiingiza nyama ya sungura sokoni. Unaiongezea thamani. Kwa mfano unaweza tengeneza Sosage, sambusa, au kuuza kama nyama ya kusaga yenye viungo. Mradi tu usiwe na lengo la kupata utajiri wa haraka kwa kudhani utauza kwa malaki ya pesa utaumia.