Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Nisamehe sana,nilikuwa vijijini kwa muda mrefu kidogo kwa ajili ya mambo yetu haya ya kilimo. Miezi mitatu iliyopita niliweka sato 26 vifaranga,mpaka jana tumerecord sato mmoja kafa,kwa hiyo imenipa nguvu kwamba bwawa langu liko mahali sahihi kabisa kilichobaki ni maboresho,hasa aina ya chakula.

Mwezi juni nilipata Kambale 52,nimewaweka ktk visima vidogo,huku nasubiri bwawa jipya likae sawa,yaani lijijenge kupokea wageni. Kwa mwezi mzima sasa hakuna kambale aliyekufa. Nitakwenda Mbegani/ kunduchi nikachukue shule zaidi ili nifuge kwa wingi. Hapo nitapata mbegu ya kuuza. Mwaka jana kigogo mmoja alikosa mbegu ya kambale,tulitafuta sana bila mafanikio.

Pili,pale Kinguruila gerezani pana mbegu ya samaki inauzwa kwa bei nzuri sana,kifaranga kimoja Tsh 30/ sio 300 kama huku Mkuranga. Contact za mhusika nimepata,kwa aliye tayari aniambie nimpe.

Kwa ujumla ninafurahia kufaulu mtihani wa kwanza,yaani pilot trial niliyofanya.
nahitaji izo contact
 
Jamani hodi humu.
Iko hivi, nategemea kuingia ufugaji wa samaki aina ya Sato. Nimeshafanya upembuzi yakinifu kuhusu gharama za ujenzi wa bwawa, na bei za vifaranga. Bajet ya maji tayari ninayo ya kumwaga tu 24/7.

Kilichobaki ni kuandaa bajet ya kuwalisha kwa miezi 6 au 7 hadi watakapofikisha gram 500 (nusu kilo) ndo niwaingize sokoni. sasa naomba kama wewe ni mzoefu, ili kuwalisha samaki 1500 hadi wafikie uzito huo nahitaji niandae bajet kiasi gani mfukoni kwa ajili ya chakula chao tuu.

Nasema hivi kwa sababu naenda kuchukua loan sasa nisije nikachukua bajet ambayo itakata kabla sijaingiza mzigo sokoni. Pia nitajenga mabwawa mawili kwa kuanzia, na kila bwawa litakuwa na capacity ya samaki 1500. Ukinipa bajet ya bwawa moja itakuwa dira kwa mabwawa mengine yatakayofuata

N.B: Sitarajii kuchanganya sato na samaki wengine. Nitafuga sato pekee monosex tilapia.
Asanteni
 
Jamani hodi humu.
Iko hivi, nategemea kuingia ufugaji wa samaki aina ya Sato. Nimeshafanya upembuzi yakinifu kuhusu gharama za ujenzi wa bwawa, na bei za vifaranga. Bajet ya maji tayari ninayo ya kumwaga tu 24/7. Kilichobaki ni kuandaa bajet ya kuwalisha kwa miezi 6 au 7 hadi watakapofikisha gram 500 (nusu kilo) ndo niwaingize sokoni. sasa naomba kama wewe ni mzoefu, ili kuwalisha samaki 1500 hadi wafikie uzito huo nahitaji niandae bajet kiasi gani mfukoni kwa ajili ya chakula chao tuu. Nasema hivi kwa sababu naenda kuchukua loan sasa nisije nikachukua bajet ambayo itakata kabla sijaingiza mzigo sokoni. Pia nitajenga mabwawa mawili kwa kuanzia, na kila bwawa litakuwa na capacity ya samaki 1500. Ukinipa bajet ya bwawa moja itakuwa dira kwa mabwawa mengine yatakayofuata

N.B: Sitarajii kuchanganya sato na samaki wengine. Nitafuga sato pekee monosex tilapia.
Asanteni
Vifaranga 1500 kufikisha 500g kwa miezi 6 utatakiwa ulishe chakula quality na kuzingatia sana usafi wa maji. Milioni 2 inaweza kukutoa vizuri tu mpaka unamaliza.

Ila nakushauri tembelea wauza vifaranga kama wana utaalamu watakupa hesabu zenye uhalisia zaidi
 
Asante sana Kiongozi. Yaani kwangu maji siyo tatizo kabisa 99.99999% reliablity and availability. Agenda itabaki kwenye upatikanaji wa chakula bora na vifaranga bora. ngoja niingie mzigoni
 
Habari zenu ndugu naona washauri weng wa samaki hao wafugaji wenyewe wako wapi watuuzie?
Hii kitu itakuwa hailipi mkuu. Ndiyo maana tangu 2010 watu wanaelezea matamanio yao tuuuu ya kufuga lkn hatuoni shuhuda za mafanikio. Washauri Ni weeeengi hatari.

Waliowahi kuingia field hii wanasema ufugaji wa samaki usikie tu. Kuna changamoto lukuki. Kulana zenyewe kwa zenyewe, unalisha miezi 6 lkn size haiongezeki, samaki kunuka tope na hivyo kukataliwa na wateja, magonjwa, udongo kuwa na madini sumu yanayouwa ama kudumaza samaki n.k

Ndiyo maana humu huoni mamilionea wakiibuka kupitia ufugaji wa samaki.

Imagine tangu 2010 ni swaga tuuuu.
 
Wenzio wanavuna na kula pesa kila siku we endelea kuwaza changamoto tu
 
Hii kitu itakuwa hailipi mkuu. Ndiyo maana tangu 2010 watu wanaelezea matamanio yao tuuuu ya kufuga lkn hatuoni shuhuda za mafanikio. Washauri Ni weeeengi hatari.

Waliowahi kuingia field hii wanasema ufugaji wa samaki usikie tu. Kuna changamoto lukuki. Kulana zenyewe kwa zenyewe, unalisha miezi 6 lkn size haiongezeki, samaki kunuka tope na hivyo kukataliwa na wateja, magonjwa, udongo kuwa na madini sumu yanayouwa ama kudumaza samaki n.k

Ndiyo maana humu huoni mamilionea wakiibuka kupitia ufugaji wa samaki.

Imagine tangu 2010 ni swaga tuuuu.
Naomba nikujibu kwa ufahamu wangu mdogo.
Issue ya maji ni very critical. Maji lazima yapimwe kwanza PH level. Maana inatakiwa between 6.5 and 7.5, au hata 8.0 siyo mbaya. usipopima kama PH iko nje ya hiyo range imekula kwako samaki wanadumaa.

Jambo la pili ni utaratibu wa kubadili maji kila yanapochafuka. Tatu, chakula bora. Nne, vifaranga bora.
 
Naomba nikujibu kwa ufahamu wangu mdogo.
Issue ya maji ni very critical. Maji lazima yapimwe kwanza PH level. Maana inatakiwa between 6.5 and 7.5, au hata 8.0 siyo mbaya. usipopima kama PH iko nje ya hiyo range imekula kwako samaki wanadumaa. Jambo la pili ni utaratibu wa kubadili maji kila yanapochafuka. Tatu, chakula bora. Nne, vifaranga bora.
Jee kiutaalam kuna namna ya kubadilisha PH kama imepungua au kuongezeka ili kuweka samaki zako vizuri
 
Jee kiutaalam kuna namna ya kubadilisha PH kama imepungua au kuongezeka ili kuweka samaki zako vizuri
Ndiyo. Hebu ukipata muda tafuta kuna elimu nyingi sana huko youtube.

katika ulimwengu wa sasa kuna maarifa mengi sana, ni suala la kuamua kutafuta maarifa.
Lakini kama kuna wataalamu wa samaki unawafahamu watafute watakusaidia.
 
Naomba nikujibu kwa ufahamu wangu mdogo.
Issue ya maji ni very critical. Maji lazima yapimwe kwanza PH level. Maana inatakiwa between 6.5 and 7.5, au hata 8.0 siyo mbaya. usipopima kama PH iko nje ya hiyo range imekula kwako samaki wanadumaa. Jambo la pili ni utaratibu wa kubadili maji kila yanapochafuka. Tatu, chakula bora. Nne, vifaranga bora.
umejibu shortly and clear
 
Karb kitu iko hivo more details karb

IMG_20210917_084542_735.jpg
 
Tafadhali naomb kujua Mtu mwenye ufahamu thabiti wa Biashara ya Samaki (Precisely Ufugaji wa Samaki Mabwawani).
  • Mtaji
  • Changamoto
  • Usimamizi na Uendeshaji
  • Masoko
 
Tembelea sites wanakofanya hzo mbishe.
Kama ulipo kuna kambi yyte ya Jeshi la kujenga taifa (JKT), Nenda ukajifunze. Hop utapata details zote kwa usahihi
 
Hivi hao samaki mtu unaofuga inabidi kila kilo uuze kiasi gani ili uweze ku-break even....

Kwa upembuzi wangu niliofanya kama ni Sato either utafute breed ambayo inazaa male pekee au uhakikishe through separation unachambua wakiwa wadogo na kuondoa majike na kubaki na madume pekee (sato ukiwaacha wanazaana wakiwa wadogo hence bwawa kuwa overpopulated na kupelekea kudumaa)

Kuna wengine wafugaji huko Asia huwa wanawawekea hormones ili kufanya sex reversal..., anyway na kwenye bwawa huwa flavor inanuka tope wengi wanafanikiwa badala ya kutumia bwawa wanatumia cage systems ingawa matumizi ya cage ni rahisi kuambukiza magonjwa samaki wengine ziwani hence kuletea taifa majanga
 
Kwa anayehitaji kitabu; Ufugaji bora wa samaki
Sh.15,000
0756625286
Yaliyomo
Aina za mabwawa.
Upatikanaji wa vifaranga.
Uchaguzi wa mbegu Bora.
Magonjwa ya samaki.
Masoko.
nk.
 
Hii kitu itakuwa hailipi mkuu. Ndiyo maana tangu 2010 watu wanaelezea matamanio yao tuuuu ya kufuga lkn hatuoni shuhuda za mafanikio. Washauri Ni weeeengi hatari.

Waliowahi kuingia field hii wanasema ufugaji wa samaki usikie tu. Kuna changamoto lukuki. Kulana zenyewe kwa zenyewe, unalisha miezi 6 lkn size haiongezeki, samaki kunuka tope na hivyo kukataliwa na wateja, magonjwa, udongo kuwa na madini sumu yanayouwa ama kudumaza samaki n.k

Ndiyo maana humu huoni mamilionea wakiibuka kupitia ufugaji wa samaki.

Imagine tangu 2010 ni swaga tuuuu.
Mkuu wanalipa sana. Samaki aina ya sato wasiozaliana nimeanza kufuga na nimeuza. Siku hizi Kuna chakula Cha kisasa (Pellets) ambacho unaweza kuwapa Samaki wako. Haina haha ya kuozesha bwawa.

Bwawa litaondolewa utando wote kwa hiyo linakuwa Safi muda wote. Kama upo Dar Es Salaam nenda Big Fish pale Kigamboni watakushauri vema.
 
Back
Top Bottom