Je kama naishi mjini nipe mbinu za kufuga hao viumbe.
Weka wazi kabla atuja piga simu utushawishi.
0759741303Kuna mabwawa ya mabanzi na karatasi. Kwa mbeya naweza kupata karatasi wapi kwa anayejua ndg zangu?
Kuna mifumo mingi ya kiufugajiMkuu samahani kwa hili swali, naskia samaki wasipobadilishiwa Maji kwa muda Fulani wanakufa kwa kukosa hewa. Sasa kwa Dodoma ambapo Maji ni ya shida nikifuga si nitatumia pesa nyingi kuliko mapato?
Gharama zake wadau wakujuzeNaombeni msaada wenu, nataka kutengeneza bwawa la aina hii, nataka kujua izo plastics ni za aina gani na nazipataje?View attachment 1241888
unamaana ganihawana response
Niliwahi kuona kwenye maonesho arusha mwaka huu mwanzoni, wanafunga kma hilo kwa laki 8 vifaa vyote nijuu yao. Linakua na urefu wa mita 3 na upana mita 3.Naombeni msaada wenu, nataka kutengeneza bwawa la aina hii, nataka kujua izo plastics ni za aina gani na nazipataje?View attachment 1241888
IjhYO0759741303
ONiliwahi kuona kwenye maonesho arusha mwaka huu mwanzoni, wanafunga kma hilo kwa laki 8 vifaa vyote nijuu yao. Linakua na urefu wa mita 3 na upana mita 3.
Nilihoji wakasema linaweza nimazur kwa kambale sio sato, sababu ya wanaweza kustahimili hali ngumu nahawazalini kiurahis kma sato
Huenda wataalamu wa mambo hayo hawapo humu?uzi huu wamesusia