as2
Senior Member
- Nov 21, 2015
- 109
- 46
Umepata msaada mkuu?Wakuu salaam, nahitaji proposal ya kuomba fedha kwa mashirika ya nje kwa ajili ya ufugaji wa samaki. Msaada wa mtu anayeweza kunisaidia please
Umepata msaada mkuu?Wakuu salaam, nahitaji proposal ya kuomba fedha kwa mashirika ya nje kwa ajili ya ufugaji wa samaki. Msaada wa mtu anayeweza kunisaidia please
Mimi nipo Dar.
Sijui kama mtaweza kutika Arusha hadi Dar kwa ajili ya kuunganisha liner tu
Bwawa limeshachimbwa.
Liner zimeshanunuliwa tayari.
Shida ni kuziunganisha
Bado kakaUmepata msaada mkuu?
Anza leo usisubiri!Napenda sana siku moja nifuge samaki
Ni kweli Mkuu ila kwasasa mambo flani hayakaa sawa!Anza leo usisubiri!
Nipo maeneo ya kijiji cha kalenga mkoani Iringa nimeamua kujalibu kufuga aina ya pelege kalibuni.
Bei 300 had 500 kutegmea na umri.Imeshiba sana hii...sijui mnauzaje vifaranga vya sato na kambale
Mkuu nichek kwa 0759741303 tunasafirisha popote tzniko iringa napataje
Haya sasa mathematician wamekuja watu na comb zaomkiu naomba unieleweshe hapo juu umesema cp ya soya ni 30% ila kwenye mfano inaonyesha cp ya soya ni 47% ( value ya x)
Hii 47 imetoka wapi huku mwanzoni umeandika 30%?
Ni mechanganya. Soya meal ina CP kati ya 47% had 49%. Ilichanganya ya soya ya karanga.mkiu naomba unieleweshe hapo juu umesema cp ya soya ni 30% ila kwenye mfano inaonyesha cp ya soya ni 47% ( value ya x)
Hii 47 imetoka wapi huku mwanzoni umeandika 30%?