Nguruwe au pig au swine au kitimoto au mduduNgulue ni nini mkuu?
JiongezeAisee yaani kila kitu naachwa nyuma, kumbe kiswahili kinabadilika mimi nipo nipo tuu!
Alishafulia mleta maada, ufugaji nguruwe ni ny*ko mi mwenyewe naacha soonTupia benk statment yako kutushawishi. isije ikawa nadharia 100% vitendo 0%
Mbona nasikia hao wadudu wana faida sana.Au ni story tu za kitaaAlishafulia mleta maada, ufugaji nguruwe ni ny*ko mi mwenyewe naacha soon
Upo dsm au mkoani?km upo mkoani upo mkoa gn?Ninauza mashudu tani 10 kama unataka. Bei 300 kwa kilo
Wakongo mna mbwembwe nyieJamani naomba mnpe mwongozo katka ufugaji wa ngulue.
Nenda kiwanda cha bia kachukue machicha ya nguruwe km una nguruwe wengi chukua hata tan1 au mbili na bei yake ni nzuri tu then uwe unayachanganyia hata pumba za mahindi kidogo unawapa au nenda kwenye mashule chukua mabakiChakula cha nguruwe cha kiwandani kinapatika wapi maana kwa mie huku Mwanza nimeshindwa kupata, asante
ShukraniNenda kiwanda cha bia kachukue machicha ya nguruwe km una nguruwe wengi chukua hata tan1 au mbili na bei yake ni nzuri tu then uwe unayachanganyia hata pumba za mahindi kidogo unawapa au nenda kwenye mashule chukua mabaki
Karibu tenaShukrani
Upo dsm au mkoani?km upo mkoani upo mkoa gn?