Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Just google ufugaji wa Ngulue, usipopata kitu jaribu ufugaji wa Nguruwe. Kama ndo ulichomaanisha basi utapata links kibao ujifunze. Unaweza kugoogle kwa kiingereza pia you have all the materials and resources you might need
 
Ufugaji wa Nguruwe una changamoto kubwa moja tu - Chakula hasa source of Protein. Mashudu ya Pamba na Alzeti upatikanaji wake
 
Chakula cha nguruwe cha kiwandani kinapatika wapi maana kwa mie huku Mwanza nimeshindwa kupata, asante
Nenda kiwanda cha bia kachukue machicha ya nguruwe km una nguruwe wengi chukua hata tan1 au mbili na bei yake ni nzuri tu then uwe unayachanganyia hata pumba za mahindi kidogo unawapa au nenda kwenye mashule chukua mabaki
 
Shukrani
 
Kwa ufugaji na mbegu bora za nguruwe pia coaching ya ufugaji wa kisasa tembelea page yetu instagram : malafyalepigfarms au ukiwa instagram search pig au pigs utatuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom