ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 42,799
- 49,455
Watu wanafuga kienyeji afu wanataka faida,kitimoto ni formula tena ya kuwapishanisha na target ni uwingi kinyume na hapo ni hasaraHakufuga kibiashara.... haukuwa na hasira ya uwekezaji.... haukufata taratibu sahii.... mwanzo mgumu.
Note:
Tafuta mbegu sahihi... mara nyingi hupatina mission kwa watasha.
Eneo la kutosha na lenye maji na sehemu ya bustani.
Nunua stock ya kudumu ya vyakula mbalimbali... na tengeneza rough garden ya carbage n.k kwa ajili ya mifugo...
Toa chanjo ma tiba kila inapohitajika....
Usipende kuuza nguruwe au vifaranga kila unapopata shida...
Maximum... ukianza na nguruwe 20... ndani ya miaka miwili utakuwa na nguruwe 200 wa umri tofauti...
Utauza mia kwa gharama zaidi ya million 50.
Misosi ni million 10 tu.
Unapata vp hasara.
Sent from "La -Vista"