Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Bei za huko mjin cjui zikoje aisee coz huku kijijn nguruwr awe kama tembo wanakupa 300000 tu hebu tupeane na bei za hiko town ili tusngalie tunafankisha kujikwamua kiuchumi magu ametushika pal pale aspo pendwa kushikwa dume rijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara hii ya kitimoto mm nimeiweza coz ninauza mwenywe mashudu so faida nnayoipata naongeza magunia ya mashudu na kwenye biasharA hivyo inanilipa kidogo ila hii biashara naamin IPO SKU ntatoka tu lengo ni kufuga nguruwe 40 na kuwauza kea 250000 nipate mtaji kufanya biashara nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kusoma hapa kuna maelezo mazuri kuhusu ufugaji wa nguruwe; Blog: anzishaproject .com
 
IJUE BIASHARA YA NGURUWE.
leo Nimeona niweke hii hapa ili isaidie wenzangu kama Ilivyokwangu.

1. Kwanza tambua hii ni agri-business,basi kama business nyingine inahitaji usimamizi wa kutosha. Watu hudhani ukianzisha mradi na kuweka kijana wa kuwalisha basi unangojea faida tu. Ni vema ukaelewa mahitaji ya hao wanyama (chakula,usafi,malazi,tiba na jinsi ya kuzuia magonjwa) na wewe sasa ndio uwe mwalimu wa herdman wako

2. Tambua faida inatokana na aina bora ya mbegu na malezi. Nia ni kuwalea wanyama wakue kufikia uzito wa soko kwa muda mfupi.Kwa kawaida nguruwe huuzwa kwa nyama akiwa na uzito kuanzia 50kg. Shambani kwangu huuzwa kuanzia miezi 5.

3. Waangalizi(herdmen) ni watu muhimu sana kwako.Ni lazima wafundishwe vizuri na maslahi yao yaangaliwe kwa makini.

4. Nguruwe akiugua atibiwe mara moja. Nguruwe ni mnyama ambae haugui kirahisi akilelewa vema unless kama kuna outbreak ya ugonjwa(kama swine fever). Mara mojamoja huugua inabidi herdman awe na uwezo wa kugundua mapema na mnyama apewe tiba mara moja. Ukiwalea vizuri muda mwingi wanahitaji chanjo tu za minyoo na ukurutu.

5. Nguruwe walishwe ration(balanced feed) sio pumba tu au masalia ya jikoni. Tambua mahitaji ya chakula ya nguruwe (protein,wanga,mafuta,madini,vitamin) na hakikisha mchanganyiko unaofaa kwa umri husika wa nguruwe.Shambani kwangu chakula kikuu ni mahindi/mtama,pumba za mahindi na mpunga,mashudu ya alizeti, ambayo tunalima hapo shamba.Pia huchanganya madini (nguruwe mix) na mifupa/chokaa

6. Tambua gharama kubwa ya ufugaji ipo kwenye chakula (atleast 70%). Kwa wastani nguruwe mkubwa anahitaji 2kg/siku. Kwa hiyo kumlea nguruwe mmoja hadi miezi 6 anahitaji 240kg(miezi 2 ya kwanza huwa ananyonya)

(a) ukininunua chakula ambacho tayari kimechanganywa gharama ni kama tshs 600/kg
(b) ukinunua vyakula na kuchanya mwenyewe gharama ni kama tshs.400/kg
(c) Ukilima vyakula na kuchanganya mwenyewe gharama ni kama tshs 150-250/kg

Hizo ni gharama za wastani kwa morogoro na Dar es salaam.Utaona kama waweza kulima mazao kwa ajili ya mifugo wako gharama inapungua sana. Nguruwe hula pia vyakula vingine kama mihogo,majani,viazi vitamu,maboga etc. Angalia vyakual rahisi kwa mazingira unayofuga. Faida yako ipo kwenye kuuza nguruwe wa nyama. Wanunuzi wa mbegu sio wengi na sio consistent. Kwa hiyo itakuchukua a minimum ya miezi 6 kuanza kupata faida kutoka kwenye mradi wako.Huu ndio ukweli. Lengo ni kuuza idadi fulani ya nguruwe Kila mwezi. Kwa mfano ingalau nguruwe 20 kila mwezi.Unadhani unahitaji nguruwe wangapi kwa wakati mmoja kufanikisha hilo???

8. Soko la nguruwe ni kubwa na linazidi kukua. Walaji wengi wapo Dar es salaam. Waweza kuuza live hapo shambani au ukapeleka mwenyewe machinjioni inategemeana na soko lipo mbali kiasi gani. Nguruwe wa miezi 6 anaweza kukuingizia tshs.200,000-300,000 kutegemea na namna ulivyouza na uzito 9.Unaanzaje kufuga kibiashara? Mfano.

(a) Faida ndani ya miezi 6,na kuuza nguruwe 20 kila mwezi.
Nunua nguruwe jike wenye mimba uzao wa 2 ; wa2 mimba miezi 3;wa2 miezi 2 na wa2 mimba mwezi1,wa2 ambao ndiowamepandwa na wa2 wenye umri wa miezi 6. Nunua kwa mfugaji mwenye mbegu inayoanza kuzaa mapema.

Ukinunua wa uzao wa kwanza namba inakuwa nguruwe 3 badala ya 2 kwa sababu uzao wa kwanza watoto ni wachache,6-9.Pia unahitaji dume mzuri mwenye umri wa miezi 8 au zaidi.Kwa namna hii kila mwezi nguruwe wa2(au 3) watazaa watoto sio chini ya 20. Utaanza kuuza mbegu ndani ya miezi

2.Na baada ya miezi 6 utauza nguruwe sio chini ya 20 kila mwezi kwa nyama
Nguruwe jike mwenye mimba waweza kumpata kwatshs350,000-400,000
Mauzo 4-6m kila mwezi. Neti profit itategemeana na gharamaza chakula kama nilivyo ainisha awali.

Shambani kwangu tunawaachisha watoto kunyonya wakiwa na week6 na jike hupata joto na kupandwa tena ndani ya siku 3-7. Hivyo nguruwe wetuhuzaa mara 2.5 kwa mwaka. Watoto huwauza wakiwa na miezi 2 kwa 45,000-60,000 kutegemeana uzito

(b) Kama utaanza kufuga nguruwe watoto wenye miezi 2?!
Ina maana utaanza kuuza nguruwe wa nyama baada ya miezi isiyopungua 14.

Pia utahitaji kuwafanya nguruwe wako wapate mimba kwa groups ambayo inahitaji uzoefu wako na herdman. Utahitaji pia dume lenye umri wa miezi12 au zaidi. Pia kwa mtu anaeanza ufugaji inasumbua kidogo. Lakini ni nafuu kidogo interms of upfront capital though gharama za ufugaji zinaWEZA kuwa kubwa. Utahitaji kuanza nao wengi pia ili kupata faida na utahitaji kufuga muda mrefu kama nilivyoeleza hapo juu.

Kama una mpango wa muda mrefu na mtaji wa kugharamia chakula na mengineyo kwa muda mrefu,hii ni namna nzuri pia.

Kwa mtu anaetaka kufuga kibiashara,mie humshauri option 8(a) hapo juu
Shambani kwangu Morogoro kwa sasa nguruwe wa 2 au 3 wanazaa kwa mwezi. Kuanzia November nguruwe 5-7watazaa kwa mwezi.

Hope hii itawasaidia watakaopenda kujaribu hii project. Ni muhimu kutembelea mfugaji halisi kupata uzoefu kabla ya kuanza ufugaji.

NYONGEZA1
Mojawapo ya vitu watu wanakosea wakati wa kuanza ufugaji wa nguruwe ni uchaguzi wa mbegu bora.Wengi anapotembelea mtu anaefuga na kukuta nguruwe wakubwa wanapata hamasa bila kuuliza maswali muhimu yatakayomsaidia kujua kama mbegu anayoona inafaa.

Mtu anaefuga kibiashara huwa na:majike na dume(au madume kutegemea na idadi ya majike).Lengo ni kuzalisha nguruwe wa kutosha watakaokua haraka na pia kuwa na nyama nzuri(isiyo na mafuta mengi) wakati wa kuuza akiwa na miezi 6 au 7.Ni vema basi ukjua sifa za jike na Dume!

Dume:iwe mbegu inayokua haraka na kuzalisha nyama nzuri.unapochagua asiwe na ulemavu wowote na awe na matiti 12 au zaidi. Large white,duroc,hampshire na crosses zake zinafaa.Ukiweza kupata first cross za duroc au hampshire ni wazuri zaidi kuwatumia kama terminal sire(dume wa kuzalishia nguruwe wako wa mauzo)

Jike:awe kutoka mbegu zinazozaa watoto wengi na pia uwezo mzuri wa kulea watoto.Awe na matiti 12 au zaidi.ni vema kutoka kwenye crosses za largewhite na landrace.Pia saddle back na crosses zake.

Kwa leo ni hayo.nitaendelea ku-update hii thread ninapokuwa na muda kwa topic mbalimbali.Ninatambua kuna breeds nzuri zaidi kama camborough,etc.nilizoelezea hapo ni breeds unazoweza kupata kirahisi humu nchini.
PM kwa mawasiliano zaidi na ushauri.
PicsArt_08-05-12.30.15.jpg
IMG_20170805_091500_593.jpg
PicsArt_08-05-01.19.41.jpg
 
Kwa leo ni hayo.nitaendelea ku-update hii thread ninapokuwa na muda kwa topicmbalimbali.Ninatambua kuna breeds nzuri zaidi kama camborough,etc.nilizoelezea hapo nibreeds unazoweza kupata kirahisi humu nchini.
PM kwa mawasiliano zaidi na ushauri.

Attached Files:
 
Utunzaji bora wa majike ni muhimu kwani utamuwezesha mfugaji kupata Mawazo mengi na bora.Majike azazi watunzwe vizuri ili kuongeza idadi Ya watoto watakaozaliwa kwa mwaka na kuongeza faida kwa mfugaji. Utunzaji bora ni kiini cha idadi ya watoto watakaozaliwa,watakaoishi na Muda wataochukua kufikia uzito kuuza na gharama zitakazotumika.
Kuchagua jike Bora
Mfugaji anashauriwa kuchagua nguruwe jike anayetegemewa kuwa mzazi kwa kuzingatia sifa zifuatazo:-

  • ·Awe amezaliwa na mama anayezaa watot wengi,menye kutoa maziwa mengi na mtunzaji mzuri wa watoto
  • · Awe na afya nzuri
  • · Awe na kiwele kikubwa chenye chuchu kati ya 10 hadi 14
  • · Awe ni MRE na mwenye uwiano mzuri kati ya urefu, upana na kimo
  • · Awe na umbile la kumuwezesha kubeba mimba na kuzaa kwa urahisi
  • · Awe na miguu imara iliyonyooka,kwato imara,mgongo wenye nguvu na uliopinda kiasi
  • · Awe mpole
  • · Atokane na wazazi wasiokuwa na historia ya magonjwa au klema cha kurithi.

Taratibu za kupandisha majike
Nguruwe kike anaanza kuonyesha dalili za joto akiwana umri wa miezi sitahadi saba.Hata hivyo, inasshauriwa kutompandisha kipindi hicho ili kuzuia kuzaliwa watoto wenye uzito mdogo,kupata mtatizo wakati wa kuzaa,afya mbaya na kudumaa. Hivyo, inapendekezwa nguruwe apandishwe atakapoonyesha dalili za joto kwa mara ya pili au ya tatu.
Kwa kawaida nguruwe huwa tayari kupandishwaakiwa na umri wa miezi kati ya nane na tisa kutegemea afya na aina ya nguruwe.
Kumtambua Nguruwe Aliye Kwenye Joto
Mfugaji anashauriwa kuwachunguza nguruwe siochini ya mara mbili kwa siku hususani asubuhi na jioni wakati wa kuwalisha ili kutambua dalili za joto.
Zifuatazo ni daliliza nguruwe jike aliye kwenye joto

  • · Hupoteza hamu ya kula
  • · Hutoa sauti ya kugugumia
  • · Huhangaika mara kwa mara
  • · Hupandwa na wenzake na hutulia akipandwa au akigandamizwa mgongoni
  • · Sehemu ya uke huvimba na huwa nyekundu
  • · Hukojoa mara kwa mara na hutoa ute
  • · Husimama wima na hutulia akiwa ametanua miguu ya nyuma na mkia ukielekea juu wakati akipandwa na dume.

Dalili hizi sio lazima zionekane zote wakati mmoja hivyo ni jambo la muhimu kuwa mwangalifu.Ili dalili hizi ziweze kuonekana vizuri,chumba cha majike yanayotarajiwa kupandwakinatakiwa kiwe karibu na cha dume.
Joto hudumu kwamuda wa sikumbili hadi tatu.Nguruwe jike apandishwe mara mbili kwa siku hususani asubuhi na jioni.Nguruwe apandishwe masaa 12 hadi 24 anapoonyesha dalili za kusimama akipandwa na dume au akigandamizwa mgongoni.Kwa kawaida nguruwe hurudia kuingia kwenye joto kila baada ya siku 21 ikiwa hana mimba.Mfugaji anashsuriwa kumchunguza ngurwe jike baada ya kumpandisha aingia kwenye joto baada ya kupandishwa.
Wakati wa kupandisha inashauriwa nguruwe jike kupelekwa kwenye chumba cha dume ili kuzuia dume kushambuliwa na jike.Nguruwe ambaye hashiki mimba baada ya kupandishwamara nyingi inashauriwa mfugaji kumuona Daktari wa mifugo kwa ushauri.
Ulishaji wa jike
Kabla ya kupandishwa nguruwe jike apewe kilo 2.5 hadi 3 za chakula kwa siku na kupewa maji safi na ya kutosha wakati wote.
Kutunza Nguruwe Wenye Mimba
Utunzaji bora wa nguruwe wenye mimba ni muhimu katika kupata watoto wenye uzito mkubwa na afya bora.Pia husaidia nguruwe kuwa na afya bora,kutoa maziwa mengi nakupunguza vifo vya watoto.
Mimba ya nguruwe huchukua siku 114hadi 119(miezi mitatu,wiki tatu na siku tatu) hadi kuzaa.Kwa kipindi hicho nguruwe anahitaj lishe bora na maji,hewa safi nay a kutosha, mazoezi pamoja na kinga dhidi ya magonjwa.Hivyo, inashauriwa banda liwe na nafasi ya kutosha, na safi muda wote.
Ulishaji wa Nguruwe Wenye Mimba

Nguruwe mwenye mimba anahitaji kupewa cha kula kinacholeta nguvu na kujenga mwili. Inashauriwa, mwezi wa kwanza wa umri wa mimba apewe kilo 2 hadi 2.5 kwa nguruwe mwenye afya nzuri, akiwa dhaifu apewe kilo 3 kwa majuma matatu. Pia, baada ya siku 84 za umri wa mimba apewe kilo 2 za chakula kwa siku na kuongeza nusu klo kila wiki mpaka siku ya tatu kabla ya kuzaa. Siku tatu kabla ya kuzaa, chakula kipunguzwe hadi kufikia kilo 2 kwa siku na wapewe majani kama luseni au chakula chenye nyuzi nyuzi nyingi kama pumba kilo moja kwa siku tatu kabla ya kuzaa ili kuzuia tatizo la kinyesi kuwa kigumu ambacho hushindwa kutoka na kusababisha nguruwe kuzaa kwa shida. Siku ya kuzaa nguruwe asipewe chakula apewe maji tuu.
kinga dhidi ya Maginjwa na Wadudu
Nguruwe wenye mimba huathiriwa zaidi na minyoo na magonjwa mengine. Minyoo hupunguza hamu ya kula na hivyo huathiri afya ya nguruwe pamoja na ukuaji wa mimba. Uzuiaji wa magonjwa na wadudu ni muhumu kwa afya ya nguruwe mwenye mimba. Mfugaji anashauriwa kuwapa nguruwe dawa ya kuzuia minyoo siku 21 hadi 28 kabla ya kuzaa.
Kuzuia wadudu, mfugaji anashauriwa kuogesha kwa dawa zakuogeshea angalau mara mbili kwa wiki ili kuzuia ukurutu na matatizo mengine ya ngozi. kwenye sehemu ambazo kuna ndorobo, mfugaji anashauriwa kuwachanja nguruwe. Ni muhimu banda na vifaa vya kulishia na maji viwe safi wakati wote.
ITAENDELEA MAKALA HII NZURI KUHUSU UFUGAJI WA NGURUWE AMBAPO TUTAANGALIA MAANDALIZI KABLA YA NGURUWE KUZAA
INSTAGRAM @pigfarmbyjimmy
 
Attachments

  • IMG_20170806_002834_453.jpg
    IMG_20170806_002834_453.jpg
    98.7 KB · Views: 218

Eleza mchanganyiko wa madini kwanzia mwanzo hadi siku ya kuzaa na baada ya kuzaa. Mbona somo lako ni kama ka kucopy na kupanste.. fafanua kulingana na wewe unavyo fuga na sio kuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eleza mchanganyiko wa madini kwanzia mwanzo hadi siku ya kuzaa na baada ya kuzaa. Mbona somo lako ni kama ka kucopy na kupanste.. fafanua kulingana na wewe unavyo fuga na sio kuambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema navyofuga ni hvo... Kuhusu mchanganyiko. Kila mtu na anavyopendelea kufanya kutokana na maelezo yangu. Ila bado makala zipo hvo fuatilia utapata darasa. Tunaanza kwa step.. Ndivyo uelekezaji.
 
Mimi ni mfugaji mkongwe wa hii kitu, kwa uzoefu wangu nadhani, tunapaswa kuwa makini katika kuchagua nguruwe dume kwa kizazi bora na siyo jike. Hata ukiwa na nguruwe jike mwenye sifa zote hizo hapo juu lakini dume akawa hana ubora ni kazi bure, kwani nguruwe husadifu sana sifa za dume kuliko mama.

Naongea kwa uzoefu kwani hili limenisaidia sana kuwa na nguruwe bora ingawa mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako, nilinunua majike wa kisasa misheni fulani lakini nikatumia dume la kienyeji, ilikula kwangu aisee!!! Badae nikanunua dume bora, amini usiamini hata ukipandisha kwa nguruwe jike la kienyeji, vitoto vinakuwa bora kama baba. Jaribu kufuga na siyo kutuletea story za vitabuni.
 
Salama!
Kwa mara nyingine tujikumbushe mambo muhimu katika ufugaji nguruwe ili ufugaji wako uwe wenye tija. Kuna mambo makuu yafuatayo:

1. Mbegu Bora
2.Management ya mradi.Hii inajumuisha malazi,chakula,usafi,na tiba kwa wanyama
3.Soko

Kwa uzoefu wangu na watu wengi niliokutana nao na pia walionifikia kuomba ushauri,aina ya mbegu ya nguruwe ndio kikwazo kikubwa kwenye ukuaji na tija ya mradi.Watu wengi wanafuga mbegu zenye potential ndogo katika ukuaji (growth rate and potential). Kwenye mbegu mfugaji yeyote anahitaji mambo matatu makubwa
(a) Mbegu inayokua haraka
(b) Mbegu inayozaa watoto wengi
(c) mbegu inayozalisha nyama nzuri(isiyo na mafuta mengi) na uzito mkubwa ndani ya wiki 24

Mbegu ndio limiting factor kwenye ufugaji huu.Kama aina ya mbegu ina ukuaji mdogo na pia uzito wa mwisho mdogo,hata utunze vp mnyama huwezi pata tija.

Wenzetu Ulaya walikwisha fanya utafiti miaka mingi sana iliyopita na kugundua kwamba

(i) Crosses za pure lines za largewhite na Landrace zinazalisha nguruwe ambae ni jike bora kabisa. Jike huyu anazaa watoto wengi(hadi 20 akilelewa vema),ana maziwa mengi,analea vizuri watoto na pia growth rate kubwa. Wazalishaji wengi wa mbegu za nguruwe wanazalisha jike huyu kwa majina tofauti.Kwa mfano PIC wanamuita camborough na Danbred wanamuita F1

(ii) Nguruwe aina ya Duroc ndio wanaukua kwa kasi zaidi kuliko nguruwe wengine na pia ndio wanazalisha nyama nzuri

(ii) Hivyo kuzalisha mnyama mwenye nyama nzuri dume aina ya Duroc hutumika kumzalisha camborough.

Sasa sisi tuliagiza hizo pure lines na sasa tunazalisha camborough na Duroc hapo shambani kwetu morogoro. Tunauza piglets(watoto wa nguruwe) kusaidia kwa wafugaji wanaopenda kufuga nguruwe kisasa na kwa tija. Kwa sababu ya ubora wa mbegu hii,gharama za kununua zipo juu(mfano jike wa 8-10 weeks waweza nunua kwa tshs.200,000) lakini ukuaji wake ni mkubwa sana;anaweza kufikisha 95kg or more ndani ya miezi 5 akipewa malezi mazuri. Sasa sisi tumefuga hawa wanyama na tumeona ukuaji wake(angalia kiambatanisho cha growth potential ya camborough) na tumeona ni vema kuwafikishia hizi taarifa.

Kwa wanaotaka kufanya mradi huu kisasa na kwa tija waweza inbox au whatsap au piga 0789412904.Nisipo pokea nitumie msg nitakurudia.

Note: Humu jamvini siingii mara kwa mara,whatasap nipo available muda wote
 
Attachments

  • Duroc - Copy.jpg
    Duroc - Copy.jpg
    50.5 KB · Views: 293
  • Landrace and Duroc - Copy.jpg
    Landrace and Duroc - Copy.jpg
    167.9 KB · Views: 439
  • Large White - Copy.jpg
    Large White - Copy.jpg
    77 KB · Views: 310
  • Pig Growth Rate - Copy (2).jpg
    Pig Growth Rate - Copy (2).jpg
    87.5 KB · Views: 266
  • 3-way pig farming system - Copy (2).jpg
    3-way pig farming system - Copy (2).jpg
    44.9 KB · Views: 273
Ramea nakuunga mkono asilimia Mia mbili. nimefuga hapa Dsm mwaka mzima nguruwe 10 faida kila mmoja elfu 40. hakuna value for money kabisa.
Hakufuga kibiashara.... haukuwa na hasira ya uwekezaji.... haukufata taratibu sahii.... mwanzo mgumu.

Note:

Tafuta mbegu sahihi... mara nyingi hupatina mission kwa watasha.

Eneo la kutosha na lenye maji na sehemu ya bustani.

Nunua stock ya kudumu ya vyakula mbalimbali... na tengeneza rough garden ya carbage n.k kwa ajili ya mifugo...

Toa chanjo ma tiba kila inapohitajika....

Usipende kuuza nguruwe au vifaranga kila unapopata shida...

Maximum... ukianza na nguruwe 20... ndani ya miaka miwili utakuwa na nguruwe 200 wa umri tofauti...

Utauza mia kwa gharama zaidi ya million 50.

Misosi ni million 10 tu.

Unapata vp hasara.

Sent from "La -Vista"
 
asante for quick reply. ila mimi nashauri kama mtu ameamua kuingia mazima kwenye sekta ya kilimo na ufugaji ni bora ukawekeza vema kwenye suala la usimamizi, kama wewe muwekezaji una muda basi simama kweli kweli lkn kama huna muda basi weka watu wenye weredi na uchungu na mradi wako. ni kweli wasimamizi wengi si waaminifu, wanahujumu sana miradi yetu labda kwa tamaa ya pesa ama ushawishi.. mimi nasema ufugaji na kilimo ni miradi yenye faida sana ila tuu ifanywe kwa umakini na uangalifu wa hali ya juu. kwa mfano. kama mtu anamtaji wa maana akapata samba ata eka 10 humo unaweza kuweka vitu kibao na mambo yakawa safi pia.. ila kwa wale wanaofugia mjini ni ngumu kimtindo manake mjini panahitaji mtaji mkubwa ambao mwisho wa siku mfugaji atapata hasara asipokuwa makini.
Mm hawa wadudu nawafuga..na kwa kwl ninawaheshimu sn...
Wafugaji wengi wanakata tamaa sababu wanafanya ufugaji km ni shughuli ya kupoteza muda...hata kama wewe ni muajiriwa,wekeza juhudi zako nyingi ktk ufugaji unaoufanya...tusikate tamaa..ht huko makazini kuna makandokando yake ambayo kimsingi hatuyakatii tamaa sababu mwisho mwezi tuna uhakika...
Ukitaka kuona faida ya nguruwe fuga wengi...ili ukiuza uione hela yake...
Lkn pia usitegemee tuu kuwauza wakiwa hai...ongeza thamani...tengeneza soseji..
Niko mbioni kuingia ktk soko la soseji maana huku kwa uchunguzi nilioufanya bd hakuna competition kubwa sn...
Kwa yeyote mwenye ABC Za utengenezaji wa soseji tutafutane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakufuga kibiashara.... haukuwa na hasira ya uwekezaji.... haukufata taratibu sahii.... mwanzo mgumu.

Note:

Tafuta mbegu sahihi... mara nyingi hupatina mission kwa watasha.

Eneo la kutosha na lenye maji na sehemu ya bustani.

Nunua stock ya kudumu ya vyakula mbalimbali... na tengeneza rough garden ya carbage n.k kwa ajili ya mifugo...

Toa chanjo ma tiba kila inapohitajika....

Usipende kuuza nguruwe au vifaranga kila unapopata shida...

Maximum... ukianza na nguruwe 20... ndani ya miaka miwili utakuwa na nguruwe 200 wa umri tofauti...

Utauza mia kwa gharama zaidi ya million 50.

Misosi ni million 10 tu.

Unapata vp hasara.

Sent from "La -Vista"
Sasa anafuga nguruwe watano,atapata VP faida.ushauri wako ni mzuri kaka
 
Ramea nakuunga mkono asilimia Mia mbili. nimefuga hapa Dsm mwaka mzima nguruwe 10 faida kila mmoja elfu 40. hakuna value for money kabisa.
Inategeneana na formula yako ya kufugia,ili update faida kwa hawa noa lazima uwafuge kwa formula ya kuzaa zaidi,kuhasi madume fasta yaani kiufupi ngiruwe anatime table ngumu kidogo na ufuatiliaji kinyume chake ni hasara
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom