Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

yani tatizo la hii kitu ni garama ya kulisha,,ukizingatia kwa sasa gunia la pumba ya mahindi limefika mpka 30,000 la kilo 50 kwingine mpka 36,000,,ni shida
 
Mie naitwa William Samuel 0784436229 naomba mniadd kwenye group la ufugaji nguruwe ,Niko manyara .
 
Habari wakuu! Ninaimani mpo Salama kwa neema ya Mungu wetu.

Wakuu mi natamani kuanza kufuga ngurue jijini mwanza japo sina network, ningetamani kama kuna mtu yeyote anafunga mnyama huyu huku Mwanza anisaidie japo kwa mawazo tu.

Natanguliza shukrani nikiamini mtanisaidia.
 
Mimi ni mfugaji kwa miaka minne sasa Avatar yangu inanitambulisha pia. Sijaona faida ya mnyama huyo isipokuwa hasara. Ana gharama za malisho na rahisi sana kudumaa...Kwa ufupi hachelewi kukosewa katika ukuaji.

Unaweza kujaribu ukajionea mwenyewe ingawa wengi humu ambao hawafugi watakuja kukupa ushauri wa kwenye vitabu.
Mimi kwa sasa nafuga kama huduma si faida tena kwakuwa mabanda nilishayajenga ya kisasa hayawezi kukaa hivi hivi.
 
Biashara ya nguruwe uifugiw maporini au vijijini gharama ya matunzo au malisho ni ndogo..kwa mjini haina maslahi kupotezeana mda na kupoteza pesa zako..
Nakushauri fuga kuku walipa zaidi kuliko biashara ya nguruwe au ng'ombe.
 
Mimi ni mfugaji kwa miaka minne sasa Avatar yangu inanitambulisha pia. Sijaona faida ya mnyama huyo isipokuwa hasara. Ana gharama za malisho na rahisi sana kudumaa...Kwa ufupi hachelewi kukosewa katika ukuaji.

Unaweza kujaribu ukajionea mwenyewe ingawa wengi humu ambao hawafugi watakuja kukupa ushauri wa kwenye vitabu.
Mimi kwa sasa nafuga kama huduma si faida tena kwakuwa mabanda nilishayajenga ya kisasa hayawezi kukaa hivi hivi.
Tafuta mbegu bora.... epuka na inbreeding(mbegu nyingi zilizopo sokoni zimeshachakachuliwa sana na inbreeding hivyo wanakula tuu hawaongezeki uzito inavyopaswa)
 
Mbegu gani nzuri na inapatikana wapi?
 
Habari wakuu! Ninaimani mpo Salama kwa neema ya Mungu wetu.

Wakuu mi natamani kuanza kufuga ngurue jijini mwanza japo sina network, ningetamani kama kuna mtu yeyote anafunga mnyama huyu huku Mwanza anisaidie japo kwa mawazo tu.

Natanguliza shukrani nikiamini mtanisaidia.
mambo makuu makuu manne ndio muhim
1.Banda zuri
hakikisha unatengeneza banda imara ambalo wanyama wako watakuwa confotable lkn pia litakalokuwa linaweza kupitisha uchafu kirahisi
2.mbegu bora
hakikisha unafanya tafiti na kupata mbegu nzuri,kwa kuanzia nakushauri ununue majike yenye mimba au ambayo tayar yba miezi kuanzia 6 au 7 ..ila ukianza na vitoto sana mradi utakuchukua muda mrefu bila kuona matunda.
3.vyakula
fanyua tafiti ya kutosha kuhusu chakula,kwa bahati nzuri nguruwe wanakula vyajula ving sana,mfano pumba za mahindi waweza kuchanganya na pumba laini za mpunga au ukakusanya vyakula vya migahawa na pia nyasi laini(siyo nyasi zote ni nzuri kwa nguruwe).pia hakikisha hiyo sehem utakayofugia inauwepo wa maji ya kutosha
4.usafi
nguruwe si wachafu ila wafugaji ndio wanakuwa wazembe kusafisha mabanda hivyo kupelekea uchafu kulundikana na banda kutia kinyaa,ila usafi ukiwa unafanyika kila siku hakika mradi wako utakuwa ni wakuvutia

n.b nitafute inbox kwa meng zaidi..hata mm niko mwanza pia
 
Kulisha mabaki ya chakula yana risk ya homa za nguruwe za mara kwa mara, wewe experience yako ikoje na unafuga nguruwe wangapi boss
 
Nimeanza juzi tu nina kama miezi 7 ,Nina nguruwe wakubwa watatu wenye mimba ambao anytime watazaa,dume lao moja na jike lingne ambalo lina watoto watano wa mwez mmoja na nusu.mabaki ya chakula wala hayana risk yeyote jitahidi tu kuwapa chanjo ya hayo magojwa pia mabaki ya chakula yawe ni Yale fresh yasiwe Yale yanayokaa kwa muda mrefu.

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu nimekupaja!
 
mambo makuu makuu manne ndio muhim
1.Banda zuri
hakikisha unatengeneza banda imara ambalo wanyama wako watakuwa confotable lkn pia litakalokuwa linaweza kupitisha uchafu kirahisi
2.mbegu bora
hakikisha unafanya tafiti na kupata mbegu nzuri,kwa kuanzia nakushauri ununue majike yenye mimba au ambayo tayar yba miezi kuanzia 6 au 7 ..ila ukianza na vitoto sana mradi utakuchukua muda mrefu bila kuona matunda.
3.vyakula
fanyua tafiti ya kutosha kuhusu chakula,kwa bahati nzuri nguruwe wanakula vyajula ving sana,mfano pumba za mahindi waweza kuchanganya na pumba laini za mpunga au ukakusanya vyakula vya migahawa na pia nyasi laini(siyo nyasi zote ni nzuri kwa nguruwe).pia hakikisha hiyo sehem utakayofugia inauwepo wa maji ya kutosha
4.usafi
nguruwe si wachafu ila wafugaji ndio wanakuwa wazembe kusafisha mabanda hivyo kupelekea uchafu kulundikana na banda kutia kinyaa,ila usafi ukiwa unafanyika kila siku hakika mradi wako utakuwa ni wakuvutia

n.b nitafute inbox kwa meng zaidi..hata mm niko mwanza pia
Nashukuru sana kwa mawazo yako, nitakuja huko pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom