Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Mkuu pleo ..... Kuna kitu kinaitwa FCR (Feed Convertion Ratio) katika ufugaji ..... hii inakokotoa ratio za chakula na bei katika muda fulani ..... naomba u-google hili somo utapata majibu haina tofauti na actual feeding practice
kiongozi mimi ni mjasiriamali naye taka kuanza kufuga hawa wanyama ,je naweza kukupata wapi ukanipa somo zaidi na hata la "practical" unawapo wafugia hao wa kwako. asante
 
kiongozi mimi ni mjasiriamali naye taka kuanza kufuga hawa wanyama ,je naweza kukupata wapi ukanipa somo zaidi na hata la "practical" unawapo wafugia hao wa kwako. asante
Ukikosa msaada mtafute ndugu mmoja anaitwa MalafyaleP anafugia Maseyu, ni mzoefu nanana mbegu nzuri sana. Ukihitaji drinker ili ufuge kisasa zaidi wasiliana namimi kwa namba 0625 504 952
 
Maana ikipikwa na 9, 000 mpaka 10,000 kwa KG
Sasa swali langu kama nafuga nauzaje kwa bei ya wanaochukua kwenda kuchinja apo
 
Drinkers advert.png
 
Mkuu hebu nipe mawasiliano yako nikutafute. Naweza pata moja au mawili. Natanguliza shukrani za Dhati kiongozi.
Mr. Masanja Naeza pata kitabu cha ufugaji nguruwe ktk softcopy. Nisaidie please
 
Naulizia kuhusu nguruwe mkubwa ambaye ana mafuta mwenye 75kg. Ukimuuza kwa wanaenda kuchinja unamuuza kwa Kg au ndio kwa maelewano na kama Kg kwa kila Kg wanauzaje kwa mtu anayeenda kuchinja tueleweshe apo ambao tunataka tuanze kufuga nguruwe
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom