Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

ni dili moja kali sana, tembelea ranch watakupa maelezo ya kitaalamu coz nguruwe wapo aina nyingi sana na wanasifa tofauti kama walivyo ng'ombe, kuku [baaadhi ya sifa ni kama hiyo uliyoitaja ya nyama,ukuaji, kuzaa etc coz kuna nguruwe wanazaa watoto wachache na hawajui kulea na wengine ni wazuri kwakuzaa watoto wengi japo hawana nyama nyingi, na kuna nguruwe wanakua taratibu, wengine wanakula vibaaaaya saaana hehehehee..]. Ukienda ranch unaweza kununua mbegu bora na ya uhakika japo bei ipo juu.
 
Natafuta sehemu ambayo naweza kodisha ili nianzishe mradi wa kufuga nguruwe, iwe eneo lolote pembeni mwa dar es salaam, kama kibamba, mbezi, segerea etc.

Wakuu wenye uzoefu naomba mnielekeze, nahitaji mtaji wa shilingi ngapi ili kuanza na ufugaji wa nguruwe watano?

Je cost yake kwa vyakula etc yaweza kuwa vipi?

Je kuna mdau mwenye wazo kama hili ambaye naweza kushirikiana nae?

Shukrani.
 
Sina uzoefu ila dudu hili ni kare. Linazaa vitoto 8 hadi 12 kwa mpigo mara mbili kwa mwaka!
 
[h=1]Why is Pork Forbidden?[/h][h=3]By Dr. Zakir Naik[/h]There are many non-Muslims who have studied Islam. Most of them have only read books on Islam written by biased critics of Islam. These non-Muslims have a different set of twenty common misconceptions about Islam. For instance, they claim to have found contradictions in the Qur'an, they contend that the Qur'an is unscientific etc. In this issue I shall deal with Why is Pork Forbidden?
[h=4]Question: Why is the eating of pork forbidden in Islam?[/h]
Answer: The fact that consumption of pork is prohibited in Islam is well known. The following points explain various aspects of this prohibition:
[h=3]1. Pork-prohibited in Qur'an [/h]The Qur'an prohibits the consumption of pork in no less than 4 different places. Its prohibited in 2:173, 5:3, 6:145 and 16:115.
Forbidden to you (for food) are: dead meat, blood, the flesh of swine, and that on which hath been invoked a name other than that of Allah. [Al-Qur'an 5:3] The above verses of the Holy Qur'an are sufficient to satisfy a Muslim as to why pork is forbidden.
[h=3]2. Pork prohibited in the Bible[/h]The Christian is likely to be convinced by his religious scriptures. The Bible prohibits the consumption of pork, in the book of Leviticus and the swine, as he divideth the hoof, and be cloven footed, yet he cheweth not the cud; he is unclean to you. Of their flesh shall ye not eat, and their carcass shall ye not touch, they are unclean to you. Leviticus chapter 11 verse 7 and 8:
[h=3]Pork is also prohibited in the book of Deuteronomy[/h]And the swine, because it divideth the hoof, yet cheweth not the cud, it is unclean unto you. Ye shall not eat of their flesh, nor touch their dead carcass. Deuteronomy chapter 14 verse 8:
A similar prohibition is repeated in the book of Isaiah chapter 65 verse 2-5.
[h=3]3. Consumption of pork causes several diseases[/h]The other non-Muslims and atheists will agree only if convinced through reason, logic and science. Eating of pork can cause no less than seventy different types of diseases. A person can have various Helminthes, like roundworm, pinworm, hookworm, etc. One of the most dangerous is Taenia Solium, which in a layman's terminology is called tapeworm. It harbours in the intestine and is very long. Its ova i.e. eggs, enter the blood stream and can reach almost all the organs of the body. If it enters the brain it can cause memory loss. If it enters the heart it can cause heart attack and if it enters the eye it can cause blindness. If it enters the liver it can cause liver damage. It can damage almost all the organs of the body.
Another dangerous helminthes is Taenia Tichurasis. A common misconception about pork is that if it is cooked well, these ova die. In a research project undertaken in America, it was found that out of twenty-four people suffering from
Taenia tichurasis, twenty two had cooked the pork very well. This indicates that the ovas present in the pork do not die under normal cooking temperature.
[h=3]4. Pork has fat building material[/h]Pork has very little muscle building material and contains excess of fat. This fat gets deposited in the vessels and can cause hypertension and heart attack. It is not surprising that over 50% of Americans suffer from hypertension.
[h=3]5. Pig is one of the filthiest animals on earth[/h]The pig is one of the filthiest animals on earth. It lives and thrives on muck, faeces and dirt. It is the best scavenger that I know that God has produced. In the villages they don't have modern toilets and the villagers excrete in the open air. Very often excreta is cleared by pigs.
Some may argue that in advanced countries like Australia, pigs are bred in very clean and hygienic conditions. Even in these hygienic conditions the pigs are kept together in sties. No matter how hard you try to keep them clean they are filthy by nature. They eat and enjoy their own as well as their neighbour's excreta.
[h=3]6. Pig is the most shameless animal[/h]The pig is the most shameless animal on the face of the earth. It is the only animal that invites its friends to have sex with its mate. It feels no jealousy. And among people who consume pork, the practice of wife swapping and other forms of promiscuous behaviour is common.
 
Wakuu mwenye aina ya mchanganyiko mzuri wa kuwakuzia hawa viumbe naomba aelezee.Nimenunua vyakula tofauti lakini naona growth rate ni ndogo mno,na sitoweza kuwatoa na miezi 5-6.
 
nguruwe wa anakula karibu 3kg per day,hivi kilo moja ni sh ngapi aproxmately na anachukua siku ngapi hadi kuuzwa? Mi kila nikipiga hizo hesabu naona kufuga hao wadudu ni hasara tu,wenye ujuzi,uzoefu watueleweshe
 
nguruwe wa anakula karibu 3kg per day,hivi kilo moja ni sh ngapi aproxmately na anachukua siku ngapi hadi kuuzwa? Mi kila nikipiga hizo hesabu naona kufuga hao wadudu ni hasara tu,wenye ujuzi,uzoefu watueleweshe

gharama inategemea na eneo utakalowafugia, niliwafuga kwa wingi kongwa na nilichokuwa nikinunua ilikuwa ni madawa ya kuwatunza tu. Kiti ana faida kuliko ng'ombe na hashambuliwi na magonjwa kirahisi.. muda wa mpaka kumuuza inategemea na wewe mwenyewe utavyopenda unaweza kuwauza wakiwa na wiki 6, miezi etc bei ya pumba inatofautiana na kila mahali, damu inapatikana bure, mabaki ya pombe za kienyeji nayo bure.. Fuga mahali ambapo chakula kinapatikana kwa gharama nafuu/bure.. ukiwafuga uzaramuni gharama zitakuwa kubwa
ukimlisha vizuri atakuwa na kuongezeka uzito haraka
 
gharama inategemea na eneo utakalowafugia, niliwafuga kwa wingi kongwa na nilichokuwa nikinunua ilikuwa ni madawa ya kuwatunza tu. Kiti ana faida kuliko ng'ombe na hashambuliwi na magonjwa kirahisi.. muda wa mpaka kumuuza inategemea na wewe mwenyewe utavyopenda unaweza kuwauza wakiwa na wiki 6, miezi etc bei ya pumba inatofautiana na kila mahali, damu inapatikana bure, mabaki ya pombe za kienyeji nayo bure.. Fuga mahali ambapo chakula kinapatikana kwa gharama nafuu/bure.. ukiwafuga uzaramuni gharama zitakuwa kubwa
ukimlisha vizuri atakuwa na kuongezeka uzito haraka

You are right bro Kada ni kweli nilikuwa napiga mahesabu ya kufugia nje kidogo ya Dar (Mkuranga) lakini kila nikipiga hesabu za gharama za chakula nilikuwa naona hasara itabidi nitafute Plan B sasa
 
Thanks mkuu kwa upembuzi yakinifu,mie nimesave....utanisaidia hapo baadae....:sad::sad:
 
Back
Top Bottom