Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Karibu Sana 2023
Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania.

Direct Whatsapp - Xiānshēng 大卫, 名尼亞

WhatsApp Group Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania :- Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania

WhatsApp Group Uza au Nunua Nyama ya Nguruwe Tu Hapa Uza au Nunua Nyama ya Nguruwe Tu Hapa

Instagram - @Nyamayanguruwee
Facebook Account - Nyama Ya Nguruwe
Facebook page - nyamayanguruwe

1. Ninauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu
Madume na Majike yanapatikana hapa
Bei ni Tshs 200,000/= - Tshs 1,500,000/=
Bei Inategemea na Mbegu au Umri wa Nguruwe utakayemuhitaji.

NB:- Ukinunua watoto wa Nguruwe Tenga la kuwaweka kwa ajili ya kuwabeba au kuwasafirisha utapata Bure kwa idadi yoyote ile ya watoto wa Nguruwe utakaonunua hapa shambani.

Delivery Dar es Salaam na Pwani ipo kwa gharama ya Mteja.

2. Ninauza Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Jumla Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 8,000/= - Tshs 8,500/=

NB:- NINAHITAJI Wateja wanaonunua nyama ya Nguruwe NA KULIPA hela Papo Hapo au CASH. Kuanzia Kilo 5, kilo 10, kilo 20, kilo 30, kilo 40, kilo 50, kilo 60, kilo 70, kilo 80, kilo 90, kilo 100, kilo 150, kilo 200, kilo 250 nakuendelea

👉🏽Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Reja Reja Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 9,000/= - Tshs 10,000/=

* SPECIAL ORDERS * VIP, VVIP, and VVVIP
RIBS / Mbavu Tu Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Stake Tupu Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Maini Kg 1 - ni Tshs 10,000/=
Kichwa Kg 1 - ni Tshs 3,500/= - Tshs 4,000/=
Miguu Pair 1 - ni Tshs 4,000/= - Tshs 5,000/=
Matumbo Ndoo Kubwa - ni Tshs 15,000/= - Tshs 20,000/=
Mkia Kg 1 - ni Tshs 3,000/= - Tshs 4,000/=

Delivery Dar es Salaam na Pwani ipo kwa gharama ya Mteja.

3. Ninachukua Nguruwe wa kuchinja Dar es Salaam na Pwani. Kwa kila kilo moja (Kg 1) utalipwa Tshs 7,500/=

NB:- Popote Dar es Salaam na Pwani nitakuja kuwachukua Nguruwe BURE

4. Ninauza Mbolea ya Nguruwe
Ujazo wa Suzuki Carry Kg 350 ni Tshs 100,000/= Tu.

NB:- Kama ni Karibu na Shamba usafiri ni bure. Kama ni Mbali na shamba Dar es Salaam na Pwani usafiri upo kwa Gharama ya Mteja.

Location: Dar es Salaam, Bunju B, Mabwe Pande, Manzese

KUMBUKA Kwa huduma yoyote ile utakayoihitaji hapa, Delivery Dar es Salaam na Pwani ipo kwa Gharama ya mteja.

Kwa Mawasiliano
Tel: +255716576827
Email: Nyamayanguruwe@gmail.com
Location: Dar es Salaam, Bunju B, Mabwe Pande.

Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania

#daressalaam #nguruwe #watotowanguruwe #watotowanguruwewakisasa #nguruwebiashara #piglet #piglets #pork #ham #swine #pigs #pig #delivery #tanzania #pigfarmer #pigfarmers #pigfarmerslife #mapinduziyaufugajiwanguruwetanzania #nyamayanguruwe
#porkrecipe #pigfood

Karibu tufanye Kazi.
2023
Karibu 2023
Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania.

Direct Whatsapp - Xiānshēng 大卫, 名尼亞 Muwekezaji / Entrepreneur / Investor

1. WhatsApp Group Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania

2. WhatsApp Group Uza au Nunua Nyama ya Nguruwe Tu Hapa

3. Bei Facebook anmelden

4. Messenger

5. Messenger

6. Bei Facebook anmelden

7. Bei Facebook anmelden

8.

9. Wateja wa Nyama Ya Nguruwe

10. Wateja wa Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu

Instagram - @Nyamayanguruwee
Facebook Account - Nyama Ya Nguruwe
Facebook page - nyamayanguruwe

1. Ninauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa wa Mbegu
Madume na Majike yanapatikana hapa
Bei ni Tshs 200,000/= - Tshs 2,000,000/=
Bei Inategemea na Mbegu au Umri wa Nguruwe utakayemuhitaji.

NB:- Ukinunua watoto wa Nguruwe Tenga la kuwaweka kwa ajili ya kuwabeba au kuwasafirisha utapata Bure kwa idadi yoyote ile ya watoto wa Nguruwe utakaonunua hapa shambani.

2. Ninauza Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Jumla Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 8,000/= - Tshs 8,500/=

NB:- NINAHITAJI Wateja wanaonunua nyama ya Nguruwe NA KULIPA hela Papo Hapo au CASH. Kuanzia Kilo 5, kilo 10, kilo 20, kilo 30, kilo 40, kilo 50, kilo 60, kilo 70, kilo 80, kilo 90, kilo 100, kilo 150, kilo 200, kilo 250 nakuendelea

👉🏽Nyama ya Nguruwe kwa bei ya Reja Reja Kilo moja (Kg 1) ni Tshs 9,000/= - Tshs 10,000/=

*SPECIAL ORDERS *
RIBS / Mbavu Tu Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Stake Tupu / Steak Kg 1 - ni Tshs 12,000/= - Tshs 15,000/=
Maini Kg 1 - ni Tshs 10,000/=
Kichwa Kg 1 - ni Tshs 3,500/= - Tshs 4,000/=
Miguu Pair 1 - ni Tshs 4,000/= - Tshs 5,000/=
Matumbo Ndoo Kubwa - ni Tshs 15,000/= - Tshs 20,000/=
Mkia Kg 1 - ni Tshs 3,000/= - Tshs 4,000/=

3. Ninachukua Nguruwe wa kuchinja Dar es Salaam na Pwani. Kwa kila kilo moja (Kg 1) utalipwa Tshs 6,500/= mpaka Tshs 7,000/=

NB:- Popote Dar es Salaam na Pwani nitakuja kuwachukua Nguruwe BURE! - KAMA NGURUWE WAKO WAPO KARIBU NA MAHALI NILIPO.

4. Ninauza Mbolea ya Nguruwe
Ujazo wa Suzuki Carry Kg 350 ni Tshs 100,000/= Tu.

NB:- Kama ni Karibu na Shamba usafiri ni bure. Kama ni Mbali na shamba Dar es Salaam na Pwani usafiri upo kwa Gharama ya Mteja.

5. Nguruwe wenye mimba ni Tshs 2,000,000/=

KUMBUKA Kwa huduma yoyote ile utakayoihitaji hapa, Delivery Dar es Salaam na Pwani ipo kwa Gharama ya mteja.

Kwa Mawasiliano
Tel: +255716576827
Email: Nyamayanguruwe@gmail.com
Location: Dar es Salaam, Bunju B, Mabwe Pande, Manzese

Mapinduzi ya Ufugaji wa Nguruwe Tanzania.
#daressalaam #nguruwe #watotowanguruwe #watotowanguruwewakisasa #nguruwebiashara #piglet #piglets #pork #ham #swine #pigs #pig #delivery #tanzania #pigfarmer #pigfarmers #pigfarmerslife #mapinduziyaufugajiwanguruwetanzania #nyamayanguruwe
#porkrecipe #pigfood

Karibu tufanye Kazi.
2023
 
Ndio nimeanza kufuga, napitia thread humu sioni wataalamu wa nguruwe naombeni maujuzi na mimi nije niitwe tajiri
 
Mungu ni mwema 4 months in the game. Nimeanza na nguruwe Saba, vitoto sita pamoja na this lovely mother ambaye mda si mrefu ataleta matunda. Every thing is fine I think.
Changamoto pekee nimefugia shambani, nalazimika kuajiri kijana lakini pia gharama za kusafirisha chakula zinakuwa kubwa
Mapambano yanaendelea
 
Attachments

  • VID_20240321_184339.mp4
    28.1 MB
  • IMG_20240321_184517_146.jpg
    IMG_20240321_184517_146.jpg
    5.7 MB · Views: 6
Mungu ni mwema 4 months in the game. Nimeanza na nguruwe Saba, vitoto sita pamoja na this lovely mother ambaye mda si mrefu ataleta matunda. Every thing is fine I think.
Changamoto pekee nimefugia shambani, nalazimika kuajiri kijana lakini pia gharama za kusafirisha chakula zinakuwa kubwa
Mapambano yanaendelea
Lovely mother? Kwa kiswahili tutaitaje😅😅
 
Back
Top Bottom