Ufugaji wa ngombe wa maziwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufugaji wa ngombe wa maziwa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by The Infamous, Aug 16, 2012.

 1. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wadau ninampango wa kufuga ngombe wa maziwa wa kizungu, kwa ajili ya biashara ya maziwa ila sijui changamotom zake, mwenye elimu na hii biashara anipe mwongozo jamani.

  Natarajia kuanza na ngombe mmoja mwenye mimba.
   
 2. A

  AZIMIO Senior Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Good idea,hata mimi ni mawazo kama hayo ngoja wataalamu waje kutuelimisha.
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kama hujanunu ng,ombe bado,ninao wenye mimba ya miez 8 na siku 14 bei yake 1milion ngo,ombe mwenyewe ana zaid ya kilo 450
   
 4. W

  WASAMUNGE Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapi upo tufanye mawasilianao yakuja kuwaona!! toa uwezo wa kutoa maziwa! na aina ya ngombe
   
 5. M

  Mboganyiru Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kaka tuambie aina na mahali ulipo bac. Au wamesha chukuliwa nini?
   
 6. Da jua

  Da jua Member

  #6
  Jun 12, 2016
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mradi wako ulifikia wapi
   
 7. Chae

  Chae New Member

  #7
  Nov 21, 2016
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ufugaji wa ng'ombe unapendeza sana sehemu mjani ni mwaka mzima
   
 8. Chae

  Chae New Member

  #8
  Nov 21, 2016
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Je mkoa gani Uko vizur
   
Loading...