Ufugaji wa Nge (scorpion), kitu pekee kinachoweza kukufanya kuwa bilionea ndani ya muda mfupi

Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).

Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa kupata galoni moja ya sumu.
OMBI.

kwa watu ambao mmechoka na umaskini kama mimi ebu tujaribuni kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwazalisha hawa wadudu kwa biashara (commercially) tuweze vuta huu mpunga.

SOKO lipo na ni la uhakika kabisa hamna longolongo sijui bosi kasafiri njoo kesho.

Karibuni tuyajenge.
Habari yako najua ni post ya siku nyingi, naomba kujua ulifanikiwa hili swala, niko kwenye mchakato
 
Kufuga sio tatizo. Changamoto ni soko. Uarabuni watu wamepigwa kupitia huu mradi wamebaki na nge wanakosa wapi pa kuuza iyosumu.
 
Sasa mleta uzi bahati mbaya hujafafanua ni kwa namna gani utaweza kupata hiyo sumu kutoka kwenye hao nyigu.
 
Sasa mleta uzi bahati mbaya hujafafanua ni kwa namna gani utaweza kupata hiyo sumu kutoka kwenye hao nyigu.
 
Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10).

Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa kupata galoni moja ya sumu.
OMBI.

kwa watu ambao mmechoka na umaskini kama mimi ebu tujaribuni kuangalia ni jinsi gani tunaweza kuwazalisha hawa wadudu kwa biashara (commercially) tuweze vuta huu mpunga.

SOKO lipo na ni la uhakika kabisa hamna longolongo sijui bosi kasafiri njoo kesho.

Karibuni tuyajenge.
very smart idea kiongozi
 
Wewe umevuna kiasi gani? Tanzania tuna uhaba wa vijana! Asilimia kubwa ya mavi-jana ya Tanzania ni mapopoma!
 
Back
Top Bottom