Ufugaji wa Mbwa: Ndio habari ya mjini kwa sasa, wanalipa ile mbaya kabisa !

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kila kona Mbwa… mbwa… Mbwa dili sana!

Bila laki 4 au 5 hupati mbwa mzuri aliyenona na mwenye sura nzuri. Mpaka laki 7 unanunua mbwa tena kijibwa tu aisee! Wa kijerumani na France ndo ghali mno.

Ila ukiwa mlevi usithubutu kufuga mbwa.Umetoka kazini unapitia mahali kula kula bia wakati home mbwa hajala wala kunywa maji. Anakugeuza ndafu *****.

Fuga mbwa ule bata mjini.Hela nje nje. Kama mlevi usifuge mbwa.

Atakutafuna mpaka makende yako.
 
Ukiwa na mbwa, huyo anakuwa sehemu ya familia yako kwa maana ya bajeti, bila kufanya hivyo unakaribisha matatizo nyumbani. Ila mbwa wanasaidia sana nyumbani, kwani swala la vibaka nk utakuwa unasikia tu kwa majirani.
 
duh hayo sio ma mbwa tena ni mashetani hayo Hahaha
Hao ni mbwa wa aina mbili, wana nguvu sana na ni very agressive, sifa yao namba moja usiwachanganye na mbwa wengine, na ukifanya hivyo tu basi jua huyo mbwa mwingine utamkuta kafa siku inayofwata!!

Mbwa anayefaa kufugwa bila masharti mengi ni german shefield, hawa wanatumika hata na polisi. Ni rahisi kuwafundisha tofauti na hao rotweiler na pitbull... Rottaweiler

IMG_20180713_214533_126.jpg

Pitbull
IMG_20180713_214924_109.jpg
 
mbwa hawezi mtafuna boss wake,ata kama kalewa labda ndo Ile unafuga mbwa ata kuwaona hawaoni kila kitu wanafanya wafanyakazi ,watakukingunge
Jamaa nnahisi sio mfugaji.. Maana mbwa unayemfuga yupo so loyal kwa mmiliki kuliko hata binadamu mwenzie.

Wazoefu wanasema mbwa ni mnyama ambaye hata ukilala njaa hatokukimbia atalala na yeye na njaa ila sio mnyama kama Paka ukilaza njaa siku 1 tu ya 2 anakukimbia
 
Hao ni mbwa wa aina mbili, wana nguvu sana na ni very agressive, sifa yao namba moja usiwachanganye na mbwa wengine, na ukifanya hivyo tu basi jua huyo mbwa mwingine utamkuta kafa siku inayofwata!!

Mbwa anayefaa kufugwa bila masharti mengi ni german shefield, hawa wanatumika hata na polisi. Ni rahisi kuwafundisha tofauti na hao rotweiler na pitbull... Rottaweiler

View attachment 808761

Pitbull
View attachment 808763
Ila Pitbull sinaga imani nao sana wako so aggressive mpaka baadhi ya states US wamewapiga ban mtu kuwafuga kabisa ila Rottweiler na GS hao wapo poa
 
Back
Top Bottom