Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Jamani wana jamvi wenzangu kama kuna mtu anaweza kunisaidia kwa upande wa mawasiliano niwasiliane nao moja kwa moja naombeni msaada tafadhali.
 
Maziwa ya mbuzi ni mazuri na yana nguvu sana, pia ni muhimu sana kwa watu wenye upungufu wa kinga mwilini. Mdau ukipata na mimi niambie ninunue hta wawili.
 
Habarini wapendwa wangu, naombeni msaada nina uhitaji wa mbuzi wa maziwa kwa ajili ya kufuga nitawapataje? Nipo Mwanza

Mm niliagiza kutoka kwa jamaa flani wa morogoro wako nao wengi Sana. Project yao ni kubwa sana nilikutana nao 7 7 D.S. M mwaka huu baazi ya mbegu zao katika picha.sema bei zao nazo zimechangamka kiasi.
 
Dodoma wilaya Chamwino kuna mama anao na huwa anawauza nilimjua siku za nanenane kwenye maonyesho. kwa mwaka 2014 alikuwa anauza kuanzia laki na nusu kwa mbuzi mwenye mimba. Contact zake nilipoteza ila naimani umepata pakuanzia, ukiwa makini kumtafuta utampata.
 
Mimi nina mbuzi wa maziwa bleed kama mbili tofauti na nafanya zero grazing,tatizo mbuzi walitoa maziwa kidogo mwanzoni lakini sasa hivi hawatohi maziwa wakati chakula wanashiba,tatizo ni nini?
 
dodoma wilaya chamwino kuna mama anao na huwa anawauza nilimjua siku za nanenane kwenye maonyesho....kwa mwaka 2014 alikuwa anauza kuanzia laki na nusu kwa mbuzi mwenye mimba.Contact zake nilipoteza ila naimani umepata pakuanzia, ukiwa makini kumtafuta utampata
Laki na nusu mwenye mimba? Huyu atakua kienyeji kama wanaopatikana vingunguti
 
Mimi ninao ila sijafikia kuuza na kuna mradi flani uliletwa moshi ndio nilikopata mbegu.
 
c4a4114a30a4ac8153a0940fbf2ec67e.jpg
 
Sina ufahamu sana na issue hii, lakini Kwa mwanza, pale Capri point, karibu na Afya radio kuna mtu anao, unaweza kujaribu
 
Hapa mwanza utwawapata kama uko tayari nikupe maelekezo ya kuwapata hao mbuzi wa maziwa
 
nimekaa kidogo mkoa wa kigoma, mkuu ana point ya msingi
tena sio tu kuwachpa bakora kuna njia tofauti tofauti za kupata watoto wawili na kuendelea, muhimu ni kukaa na wazee wa mji wakupe somo tena bure tu
Je, mtoto atakayezaliwa hapo naye atakuwa na Uwezo wa kuzaa mapacha au hadi nae afanyiwe dawa?
 
Kulikuwa na mradi wa SUA wakawapeleka mbuzi wengi sana Mgeta morogoro kule, na sasa wapo kule wanapatikana, japo siwezi kujua ni exactly ni vijiji gani pale ile wapo na maonesho ya nane nane morogoro wapo.. Cha kukusaidia nenda pale SUA, department ya Animal science uulizie utapata hadi contacts za wafugaji hao.. Unaweza kumuuliza mama Ndemanisho pale kwenye Idara anaweza kukusaidia sana..goodluck
 
Kulikuwa na mradi wa SUA wakawapeleka mbuzi wengi sana Mgeta morogoro kule, na sasa wapo kule wanapatikana, japo siwezi kujua ni exactly ni vijiji gani pale ile wapo na maonesho ya nane nane morogoro wapo.. Cha kukusaidia nenda pale SUA, department ya Animal science uulizie utapata hadi contacts za wafugaji hao.. Unaweza kumuuliza mama Ndemanisho pale kwenye Idara anaweza kukusaidia sana..goodluck
Faza Ahsante,jibu lako limetusaidia wengi
 
Back
Top Bottom