Elizabeth Eliase
Member
- Sep 15, 2017
- 18
- 10
Nashukuruni sana wapendwa wangu Mungu azidi kuwapa maarifa na hekima.
Habarini wapendwa wangu, naombeni msaada nina uhitaji wa mbuzi wa maziwa kwa ajili ya kufuga nitawapataje? Nipo Mwanza
Ukiwapata nistueHabarini wapendwa wangu, naombeni msaada nina uhitaji wa mbuzi wa maziwa kwa ajili ya kufuga nitawapataje? Nipo Mwanza
Laki na nusu mwenye mimba? Huyu atakua kienyeji kama wanaopatikana vingungutidodoma wilaya chamwino kuna mama anao na huwa anawauza nilimjua siku za nanenane kwenye maonyesho....kwa mwaka 2014 alikuwa anauza kuanzia laki na nusu kwa mbuzi mwenye mimba.Contact zake nilipoteza ila naimani umepata pakuanzia, ukiwa makini kumtafuta utampata
Je, mtoto atakayezaliwa hapo naye atakuwa na Uwezo wa kuzaa mapacha au hadi nae afanyiwe dawa?nimekaa kidogo mkoa wa kigoma, mkuu ana point ya msingi
tena sio tu kuwachpa bakora kuna njia tofauti tofauti za kupata watoto wawili na kuendelea, muhimu ni kukaa na wazee wa mji wakupe somo tena bure tu
Faza Ahsante,jibu lako limetusaidia wengiKulikuwa na mradi wa SUA wakawapeleka mbuzi wengi sana Mgeta morogoro kule, na sasa wapo kule wanapatikana, japo siwezi kujua ni exactly ni vijiji gani pale ile wapo na maonesho ya nane nane morogoro wapo.. Cha kukusaidia nenda pale SUA, department ya Animal science uulizie utapata hadi contacts za wafugaji hao.. Unaweza kumuuliza mama Ndemanisho pale kwenye Idara anaweza kukusaidia sana..goodluck