Habarini wapendwa wangu, naombeni msaada nina uhitaji wa mbuzi wa maziwa kwa ajili ya kufuga nitawapataje? Nipo Mwanza
Habari wadau nimeanza kufuga mbuzi kwa kununua mbuzi 20 ila ningependa kupata ushauri zaidi jinsi ya kuwatunza,madawa pamoja na chanjo zao
Ahsante sana mkuuKama bado ujafanikiwa cheki n huyu mdau kwa msaada zaidi.
Ahsante sana mkuu
Mimi mwenyewe ninayo na ni ya kurithi. Ukija kwangu unaweza kushanga wingi wa mbuzi nilio nao hasa watoto wa mbuzi, anaebisha na abishe sisi maisha yanasonga nauza mbuzi nasomesha watoto na yeye anaendelea kusonga mbele na ubishi.Hii kitu IPO aisee haaa kanda ya ziwa
Mpwapwa mbali mkuu aende Mbande kama unatoka DsM ukimaliza lanchi kabla ya kufika Mbande mkono wa kulia kuna kibao kina maelezo yote. Fuata barabara utawakuta. Zamani walikuwa wanauzwa laki mbili kwa mbuzi ila ni wa kisasa sio wa kienyeji kama wa kwangu.Jaribu kwenda pale mpwapwa kuna taasisi ya serikali niliwahi kukuta aina zaidi ya tano za mbuzi na sifa zao. wenda wakawa na mbegu za aina hiyo.
Upo mkoa gani mkuu?Mpwapwa mbali mkuu aende Mbande kama unatoka DsM ukimaliza lanchi kabla ya kufika Mbande mkono wa kulia kuna kibao kina maelezo yote. Fuata barabara utawakuta. Zamani walikuwa wanauzwa laki mbili kwa mbuzi ila ni wa kisasa sio wa kienyeji kama wa kwangu.
Bei yake ya sasa hivi ni Laki tatu, na maziwa yake ni dawa kwa watu wenye maradhi ya sukari.Mpwapwa mbali mkuu aende Mbande kama unatoka DsM ukimaliza lanchi kabla ya kufika Mbande mkono wa kulia kuna kibao kina maelezo yote. Fuata barabara utawakuta. Zamani walikuwa wanauzwa laki mbili kwa mbuzi ila ni wa kisasa sio wa kienyeji kama wa kwangu.
nimekaa kidogo mkoa wa kigoma, mkuu ana point ya msingiMbuzi kuzaa mapacha wanne wanafanyiwa dawa mimi ninayo ni ya kiboko, ukichapa viboko vitatu wanazaa watatu na ukichapa vinne wanazaa wanne. Ila mara nyingi huwa nachapa mwisho viboko vitatu labda wawe wakubwa sana kwa umbo ndo unachapa vinne. Usiweke mbele tamaa ya kuzaliwa ndama wenhi ambao mama yao atashindwa kuwanyonyesha kwa kuwatoshereza hivyo kufa kwa njaa au magonjwa kutokana na kuwa na utapiamulo.
Kwanza mie huwa siamini hatika miujiza, kwahiyo suala la kuchapa viboko siliamini maana ni kama muujiza. Suala la kuzaa mapacha ni la kibaiolojia na urithi na si la kimiujiza. Jambo la pili, nakubaliana na wewe kuwa wasipopata matunzo mazur wanaweza kufa kutokana na kutokula vizuri. Lakini nilishawahi kuwafuga na nilikuwa nawatunza vzr tu. Kwahiyo sina ttz na matunzo ninachohitaji ni mbegu hiyo.
tafuta mwenyeji wa kigoma hata huko huko uliko anakuelekezaMie pia nimeanza.Ila nilichogundua mbegu hiyo inapatikana zaidi, Kigoma na Katavi
Kwa sasa niko nje ya mipaka ya Tanzania lakini karibu Tanzania nzima ni mwenyeji. Umaskini huleta maarifa , kumbuka JK alisema " ya kuambiwa..... yako"Upo mkoa gani mkuu?
Mkuu sijawahi kunywa maziwa ya mbuzi kwani yanautofauti sana na ya ng'ombe?Mkuu, unaweza kunywa maziwa ya mbuzi?
Hongera mkuu!
Mkuu maziwa ya mbuzi ni matamu sana kuliko ata ya Ng'ombe,niliyanywa Morogoro vijijini sehemu moja inaitwa Chenzema maana kule wanafugwa sana.Mkuu sijawahi kunywa maziwa ya mbuzi kwani yanautofauti sana na ya ng'ombe?
Mkuu, ulishawahi kufuga? Si unaijua harufu ya beberu?Mkuu sijawahi kunywa maziwa ya mbuzi kwani yanautofauti sana na ya ng'ombe?