Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Npo na nmesomea poultry pia nnauzoefu mkubwa wa zaidi ya miaka 3 ktk brooding & poultry disease control ntafute tufanye kazi 0769867594
 
Kwa mwenye elimu ya jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku zaidi upatikanaji protin mfano funza,minyoo,mende msaada jamani.... maana dagaa na soya ni gharama mno
Nipo ncheki, nipo na nmesomea poultry pia nnauzoefu mkubwa wa zaidi ya miaka 3 ktk brooding & poultry disease control ntafute tufanye kazi 0769867594.
 
Kama unataka kunyonyoa kuku wako kwa haraka zaidi na kutumia njia rahisi na haraka.

Kama unahitaji wasiliana nami.
 

Attachments

  • IMG_2767.JPG
    IMG_2767.JPG
    41.1 KB · Views: 141
  • IMG_2768.JPG
    IMG_2768.JPG
    33.3 KB · Views: 129
Wadau hongereni kwa ujasiliamali.

Naomba ushauri nina 3M nataka nianze ufugaji wa kuku wa kisasa.
1. Naomba kujua ukubwa na sifa kwa ujumla wa banda lake
2. Kuku wa mayai au nyama yupi analipa?
3. Kampuni inauza vifaranga bora kwa tanzania
4. Nianze na kuku wangapi (kwa kuku wa mayai wangapi na nyama wangapi)
4. Mengineyo yanayoweza kunisaidia
 
Basi haitoshi!maana vifaranga sio chini ya 1600 bado chakula,ingawa unaweza nunua mayai ukatotolesha kupunguza gharama,Banda linakula hela.

Nikweli, Kuku wanahitaji. Banda approximately 2m lakini 3m for at least 400 vifaranga

Kifanga kimoja kama 2000. Chakula cha vifanga kama lakini tatu

Nk

Banda la hovyohovyo 2,5000,000
Chakula cha Kuku 300,000
Vifanga walau 400x2000 800,000

Hapo una at least jumla 3.6m
 
OK, asante sn, ngoja niendelee kujipanga
Nikweli, Kuku wanahitaji
Banda approximately 2m lakini 3m for at least 400 vifaranga

Kifanga kimoja kama 2000

Chakula cha vifanga kama lakini tatu

Nk

Banda la hovyohovyo 2,5000,000
Chakula cha Kuku 300,000
Vifanga walau 400x2000..800,000

hapo una at least jumla 3.6m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza anzia nayo utajenga banda la kawaida na kuku utananunua ata 30 chakula na dawa kama nia ipo iyo ela inatosha kuanzia
Hellow, naombeni ushauri natamani kufuga kuku chotara eneo ninalo ila Nina balance ya mil moja tuu, je inawezatosha kwa ufugaji wa aina hiyo ya kuku? Nipo Dar es salaam, Tabata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK, asante sn, ngoja niendelee kujipanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukisema ujipange, hutafanikiwa. Utanikuta umekula hiyo fedha kizembe

1. Anza kwa Kuku wachache kabisa 60 hivi
-watakufundisha
I) mahitaji yao
-dawa
-vyakula
-vyombo
-magonjwa nk

2. Washirika wako wa kukupa msaada
-wafugaji, majirani
-wataalamu wa mifugo nk

3. Uzoefu wa kushughulika na kero mbali mbali

Ukisha pata uzoefu kamili utaanza kuongeza idadi kadri ya mtaji na nafasi yako

Muhimu ni kwamba mambo ya ufugaji yanahitaji moyo, na uvumilivu maana faida hupatika baada ya muda kupita
 
Ukisema ujipange, hutafanikiwa. Utanikuta umekula hiyo fedha kizembe

1. Anza kwa Kuku wachache kabisa 60 hivi
-watakufundisha
I) mahitaji yao
-dawa
-vyakula
-vyombo
-magonjwa nk

2. Washirika wako wa kukupa msaada
-wafugaji, majirani
-wataalamu wa mifugo nk

3. Uzoefu wa kushughulika na kero mbali mbali

Ukisha pata uzoefu kamili utaanza kuongeza idadi kadri ya mtaji na nafasi yako

Muhimu ni kwamba mambo ya ufugaji yanahitaji moyo, na uvumilivu maana faida hupatika baada ya muda kupita
Asante sana ntaufanyia kazi ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom