Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Vifaranga wa kuchi kama hauna uzoefu na ufugaji wakuku watakusumbua kwani mpaka miezi mitatu huwa hawajafunika manyoya huwa yako kichwani mkiani na kwenye mabawa hivyo wasipotunzwa vyema hufa inafaa ununue kuku wakubwa japo kwa garama
Unatumia heater!
 
Mimi ninao hao kuku kuchi nipo kahama ukiwahitaji nicheki
Screenshot_20191225-105105.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom