Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

hbr zenu Wadau,leo nimeshangaa mno kuambiwa kuwa hawa kuku wanafika mpaka laki moja!!! Hv wakuu ni kweli na kama kwel kwanini wanauzwa ghali kiasi hiki, ni kitu gani special ambacho wanacho?
 
Mie kuna jamaa aliniambia eti laki mbili nikamwambia ndugu si bora nikanunue mbuzi wanne kuliko hako kakuku kamoja asee nikaachana nae...............ngoja waje wataalam wa hao ndege Mama Joe na wenzake what is so special ndani ya huyu ndege mpk kufkia kuuzwa bei hiyo asee.
 
Last edited by a moderator:
Kaka nadhani ni vizuri na wepesi kuweka contact tu hapa... Watu wengi wanahitaji.... Tusaidie kaka
 
Huyu wangu anaitwa nani?..kama ni kuchi namuuza mweee,.mihela yabure hii
 

Attachments

  • Camera360_2015_1_20_095116_jpg.jpg
    Camera360_2015_1_20_095116_jpg.jpg
    42.5 KB · Views: 419
kwanza unatakiwa ujue kwamba kuch jike hakui kama jogoo ila pia ni wazembe sana kuatamia na kutotoa pia


mm ninae mtetea wa kuchi anaatamia vizurisana na usiombe akudonoe,asilimia kubwa ya kuku bandani kwangu ameijaza yeye.pia wanataga yai kubwa kuliko kuku wengine.
 
Kuku kuchi bei yake iko juu sanaa.. Me kuna mtu anauza yule ambae anatetea sh 150,000
 
Nimeamua kuingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji baada ya mradi wangu wa bata maji kwenda vizuri.

Nahitaji mayai 1200 ya kuchi au kuku wengine wa kienyeji, tafadhali wasiliana nami kama utakuwa na mayai hayo, yasiwe na umri zaidi ya wiki moja tafadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom