Mambo vipi...nitafuteNahitaji vifaranga wa kuchi...niko Arusha
Unatumia heater!Vifaranga wa kuchi kama hauna uzoefu na ufugaji wakuku watakusumbua kwani mpaka miezi mitatu huwa hawajafunika manyoya huwa yako kichwani mkiani na kwenye mabawa hivyo wasipotunzwa vyema hufa inafaa ununue kuku wakubwa japo kwa garama
Safi, nakupataje.....na bei zake?Mambo vipi...nitafute
Yani walinyweshwa damu ya mbwaIla hao kuku ni wakali kama mbwa.
Wanauzwa wapi Mimi ninao nauzaMie nawajua kuku wakubwa bei 30,000/- kila mmoja.
Atari ni kuku wa vita kaka ukwel kabisaIla hao kuku ni wakali kama mbwa.
Unao mkuu?NI WAPI WANAPIGANISHA KUKU AINA YA KUCHI?
Mkuu, hawa kuku wana nn cha upekee hadi waizwe laki 5!??Kuna jamaa anao wale kasuku kabisa
Pea moja, yani jike nadume anauza laki5.
napatikana TOA NGOMA DAR
Habar za asubuhi wadau Mimi Nina kuchi wangu nahitaji mtu aniunganiahe na wanunuzi namba yangu 0659521549