k
kama utakua unashida nao kwer namba 0713957388mm ni
mm ninao nauza wako weng 2
kama utakua unashida nao kwer namba 0713957388mm ni
mm ninao nauza wako weng 2
dada mm piah mfugaji mdogo ila kwer soko la kuuza ndo changamoto na uku kwetu wanaofuga ni weng sana utatupaje msaada kama ww unao tupe hta ushaurKuwa watu humu wanachukulia hili jukwaa kama Facebook au instagram.
Nasikitika sana Kuona hakuna aliye elewa huu uzi.
Kwa watakohitaji kuingia katika mradi huu wafike ofisini kwetu TBCC LTD Sinza barabara ya Tandale kituo cha bus white inn karibu na uwanja wa TP. kwa maelekezo Zaidi au wasiliana nasi kwa simu 0767851665/ 0715851665/ 0784851665wana jf naomba tuchangiane mawazo kuhusu soko la sungura au kwa anaye hitaji tuwasiliane 0752010736
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watakohitaji kuingia katika mradi huu wafike ofisini kwetu TBCC LTD Sinza barabara ya Tandale kituo cha bus white inn karibu na uwanja wa TP. kwa maelekezo Zaidi au wasiliana nasi kwa simu 0767851665/ 0715851665/ 0784851665
Arusha fika Hotel Manor- sakina silent inn
Moshi fika kiboriloni market kwa Ndesa No 127 na 128
Mwanza fika Kirumba karibu na msikiti wa Shamsiya barabara ya polisi Kirumba
TANZANIA BUSINESS CREATION COMPANY LIMITED
(Rabbit world department)
www.tbccltd.co.tz
email. tbccltd@gmail.com, info@tbccltd.co.tz[/QUOT
Ungemjibu kwanza aliyeulizia soko
Kwa sasa hizo ni hadithi za alufurela ulela.Habari zenu wadau?
Nimeanza kudadisi kuhusu ufugaji wa sungura na ningeomba kupata taarifa zaidi kuhusu bei ya nyama na mkojo wa sungura. Na ni wateja gani wakubwa hununua mazao hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi,tuanzie hapoNi v2 gan inabd uzingatie ukitaka kuanza kufuga sungura
Mkuu,mimi nina interest kubwa sana ya kufanya rabbit raising for meat.... na nimeshafuga sungura at a small scale..., niliwahi kufuatilia sana project ya sungura na nikapewa guidelines na FAO kuhusu funding programs under Tele food na wakanitumia vitabu viwili vinavyohusu rabbit raising ...tele food funding inaweza kutoa funds kama mtaweza ku form a gorup abayo itaweza kutoa fursa ya kukuza ufugaji wa sungura at the sme time kuzalisha sungura wa nyama kama mbadala wa chakula katika jamii
Nashauri tuwasiliane tuone tunaweza vipi tukaanzisha umoja wa ufugaji wa sungura na kushawishi umma kuhusu nyama ya sungura ili tupate soko kutoka kwa wananchi.