Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,133
- 16,197
mimi nilifuga sana miaka ya 90 hapa hapa Dsm lakini nilikuwa nawauzia sana watu wa makundi ya sanaa kama kibisa kwa ajili ya kulisha chatu wao.

mkuu huyu anaeuliza kama sungura analiwa simwelewi? Kuhusu kufuga nahitaji couse nilisha fuga,nipotayari kuwasiliana na wewe,hii ni anwani yangu,chakihenry@gmail.com,pooa mkuu
jmeni soko la sungula lipo kubwa sana shida ni kumaintain soko kwani watu wengi hufuga sungura kati ya 5 hadi 30, kwa mfano hivi majuzi hoteli moja hapa ilihitaji kilo 500kg za nyama ya sungula kila week na walikuwa tayali kuingia mkataba wa mwaka mzima. hakuna mtu hata mmoja aliyejaribu sasa jamaa waangiza toka china nd german
na Mzee Jabulani usisikilize kelele za watoto endelea nao hivyo hivyo hivi karibuni watajifunza kuwa sio watoto pekee wanaoweza kuwa wafugaji wazuri wa sungura
Ninao sungura na bei yao ni Sh.15,000. Namba yangu ya simu ni 0718424824.Kaka unao sungura? Nataka niwafuge ila cjui where to find them