Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Mkuu,mimi nina interest kubwa sana ya kufanya rabbit raising for meat.... na nimeshafuga sungura at a small scale..., niliwahi kufuatilia sana project ya sungura na nikapewa guidelines na FAO kuhusu funding programs under Tele food na wakanitumia vitabu viwili vinavyohusu rabbit raising ...tele food funding inaweza kutoa funds kama mtaweza ku form a gorup abayo itaweza kutoa fursa ya kukuza ufugaji wa sungura at the sme time kuzalisha sungura wa nyama kama mbadala wa chakula katika jamii

Nashauri tuwasiliane tuone tunaweza vipi tukaanzisha umoja wa ufugaji wa sungura na kushawishi umma kuhusu nyama ya sungura ili tupate soko kutoka kwa wananchi.
mkuu big up
 
If there is no a market for your product, create a need...fanya watu wahitaji nyama ya sungura. BTW rafiki yako anao wangapi?? anafugia wapi na anauwezo wa kuuza wangapi kwa siku na bei yake ni sh ngapi?? Ninaweza kusaidia kupatikana kwa soko ila quantity ikwe kubwa na kuna vigezo vya uzito na quality anatakiwa avikidhi, all the best.
mkuu weka vigezo vya uhitaji wa ubora na uzito
 
Kuna jamaa pale kibaha maili moja anafuga vyura wa nyama. Nadhani ana soko zuri, huyu jamaa huenda akawa na masoko ya panya buku (samaki nchanga) na sungura. Wachina wengi dar wanakula sana na kufurahia nyama ya mbwa. Lakini bei yao siyo nzuri sana kwani walinunua mbwa mmoja kwa shs elfu tano tu. Nadhani tuanze kula vyakula vya aina nyingi kwani hata jamii ya mafunza wa chooni wana protini nyingi kuliko vyakula vingine.
Qwi Qwi Qwi..... You must be kidding.
 
bbc43cb497a04f4a3fd38e3043580c01.jpg

Leo baada ya kutoka zoezini asubuhi nika switch On TV na kuweka Channel Ten na kukutana na hii Mada juu ya ufugaji wa Sungura hawa jamaa wanaitwa TBCC jamani kama vijana tufatilie na tujifunze kilo moja ya nyama ya Sungura inanunuliwa 8000/= tuchangamkie Congo wanataka Tani 20 za nyama ya Sungura
 
Hebu Toa ufafanuzi zaidi. Hao TBCC wananunua Sungura!? Je mkulima akisha wafuga na wakakomaa anaweza kuwapelekea siku yoyote!? Na kama wana nunua wana anzia kununua sungura mwenye uzito gani na idadi gani ya sungura?
 
Kaka hao jamaaa mwenyew nimewasikia tuu wanaitwa TBCC wao ndyo wanakupa sungura na unawafuga na watanunua kwako siku yoyote hao sungura baada ya kukua kilo 8000/= na wananunua kwa idadi yoyote ile wafatilie mtandaoni
 
Akili za kuambiwa changanya Na zako
 
Mpaka uanze kufuga hao sungura mpaka ifikie hatua ya kuuza, congo watakua hawahitaj tena watakua washapata..na nyama itakua yeboyebo tayar
 
Mpaka uanze kufuga hao sungura mpaka ifikie hatua ya kuuza, congo watakua hawahitaj tena watakua washapata..na nyama itakua yeboyebo tayar
Du aisee mchawi wa maendeleo ni doubt na woga wetu,kifupi soko la sungura huwez kulimaliza.Nairobi tu hapo sungura wanagombewa sana.NYama ya sungura sasa ina take over coz watu wanashift from red meat kwenda kwenye white meat.Nairobi nyama ya sungura inauzwa sana mahotelini.Wenzetu mpaka mkojo wa sungura wanauza .kifupi sungura wanasoko sana hata europe unauza kikubwa uwe na mbegu bora kabisa.KUna kampun inakuuzia sungura ila unasign contract utawauzia wao,wakiugua wanawatib wao.ni fursa hii kama una mtaji anza na majike watatu na dume mmoja.wastan sungura anabeba mimba siku 27 na ana zaa mpaka watoto 10-12 tangu umfuge mpaka kumuuza no wastan wa miez 4.
 
Nilishawafuga sana zamani kipind nkiwa darsa la tano, mwaka 2004 nlikua nao weng nna uzoefu nao... nategemea kurudia tena kama zaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom