Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,686
- 1,278
Hiyo heading yako!!! nilidhani wewe ndio una maelezo ya jinsi gani sisi tunaweza tajirika na ufugaji nyuki- kumbe ni kinyume chake!!!!
Haya bana mafanikio mema
Haya bana mafanikio mema
Kwa wote wanaohitaji makundi ya nyuki (bee nucs) hapa Tanzania,Tutaanza kuuza makundi kuanzia juni 18 Mwaka huu.Wote wanaohitaji wa ni PM mapema.Uwezo wetu tunazalisha makundi ya nyuki 200 kwa mwezi,ifikapo mwakani tutakuwa na uwezo wa kuzalisha makundi 1000 kwa mwezi.
WHAT IS A NUC?A Nuc (sounds like nuk), is a nuclear hive. It is four or five frames from a working hive including a queen,100 bee workers and few droneswafugaji wa nyuki na wale wanaotaka kuanza ufugaji wa nyuki tuwasiliane
Jokes aside man..........this is seriousYanafaa kutumika kama mabomu kwa kupiga kwenye Mikutano ya CCM??Kama yanafaa tuongee bei!!
Jokes aside man..........this is serious
Yanafaa kutumika kama mabomu kwa kupiga kwenye Mikutano ya CCM??
Kama yanafaa tuongee bei!!
Jokes aside man..........this is serious
He! he he! -- sipati picha jamaa atakapokuwa anashambulia mikutano ya CCM na nyuki wake!Yeah, I am serious as well!!
Yanafaa kutumika kama mabomu kwa kupiga kwenye Mikutano ya CCM??
Kama yanafaa tuongee bei!!
He! he he! -- sipati picha jamaa atakapokuwa anashambulia mikutano ya CCM na nyuki wake!
Yanafaa kutumika kama mabomu kwa kupiga kwenye Mikutano ya CCM??
Kama yanafaa tuongee bei!!
Kazi nyingine ya propolis ni kuvutia nyuki ili waingie ktk mzinga mpya,yaani ukishapata mzinga mpya,nenda shambani kwako, fungua ndani ya mzinga kisha paka ktk kuta za mzinga hiyo propolis yako,funika na uondoke. Usifanyie nyumbani kwako,kwa sababu unaweza ukasahau kupeleka shamba na nyuki wakaingia mchana, watoto wako au wa jirani wakachezea. Balaa lake si dogo.