Ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa Nyama na maziwa

Mpauko

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
1,664
Points
2,000

Mpauko

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2019
1,664 2,000
mimi natafuta ranch kubwa hizo za selikali, nataka kufuga ng'ombe wa maziwa na nyama si chini ya mia tano kwa kuanzia. kama kuna mtu anayeweza kunisaidia namna ya kuzipata anipigie pande hapa. kwahabari ya pesa, si zaidi ya $1 million. asanteni.
Mkuu shambaboy nipo
 
Atupelee

New Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
2
Points
20

Atupelee

New Member
Joined Aug 10, 2019
2 20
Mkuu unaweza kunierewesha juu ys huu ufugaji wa zero grazing..,?
Nimefanikiwa kusajili shamba (EBENEZER DAIRY FARM) tokea nilipoanza 2008, sasa huu mkopo ninaotafuta ni pamoja na kuweza kununua shamba na kuongeza ng'ombe. Kwani kwa sasa ninafanya ZERO Grazing, lakini idadi ya ng'ombe itakapofikia 10 nitahitaji kuhamia shambani. Kwa sasa nipo Zanzibar na TWIGA BANCORP hawajafungua tawi. Kuhusu mchanganuo wa mradi, hili nitahitaji mtaalamu.
 
LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
1,126
Points
2,000

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
1,126 2,000
Zero grazing. Ni kama unafuga wakiwa bandani aubwapo kwenye uzio maalum, wawaletea kila kitu hapo. Ni mzuri kwani mfugo haichoki kuzurula lutafuta malisho na kama ni maziwa wanatoa mengi kidogo.
Changamoto ni harufu ya kinyesi kama unaeneo dogo na kama upo maeneo ya mjini.
Mkuu unaweza kunierewesha juu ys huu ufugaji wa zero grazing..,?
 
Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
818
Points
1,000

Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
818 1,000
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.

I believe together we can go.
Nipo tayari kaka hata kesho tukutane hiliswala nalithamini sana naamini tutafika ktk umoja huu. Mungu akubariki kwa mawazo haya
 
Forum statistics

Threads 1,343,278
Members 515,004
Posts 32,778,752
Top