Ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa Nyama na maziwa

MLIPAKODI

MLIPAKODI

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
240
Points
195
MLIPAKODI

MLIPAKODI

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
240 195
Kwa wale wajasiriamali wanaohitaji kujiunga na group ya WhatsApp kwa masuala ya kijasiriamali nicheki 0762600100
 
Pelham 1

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
545
Points
225
Pelham 1

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
545 225
Kwa mara nyingine tena, leo nimeona haja ya kuanzisha mada nyingine na tujadiliane kwa pamoja juu ya ufugaji wa mbuzi baada ya kujadili kwa muda mrefu ile mada ya ufugaji wa kuku http://Ni kwa wafugaji/wanaotaka kuanzisha mradi wa ufugaji kuku.

Ufugaji wa mbuzi hapa Tanzania ni fursa adhimu ambayo Watanzania wengi hawajaiona. Ni ufugaji ambao wenyewe kama mfugaji atazingatia kanuni na misingi ya ufugaji Bora, ni rahisi sana mfugaji kujiondoa kutoka kwenye umasikini na kuwa tajiri. Kitu cha msingi na muhimu ni kwamba,mfugaji lazima awe na eneo pamoja na mtaji wa kuanzia.

Mbuzi wanatakiwa kufugwa shambani. Shamba ambalo mbuzi wanatakiwa wafugwe linapaswa liwe na sehemu ambayo mbuzi wanaweza kwenda kuchungwa na pia kuwe na chanzo cha maji. Mbuzi kitabia hupenda kulala juu hivyo mabanda yao yanapojengwa lazima yainuliwe juu. Mabanda ya mbuzi si ghari,kwani hujengwa simple.

Mbuzi kwa mwaka wao huzaa mara mbili na ukipata ile mbegu ya wanaozaa mapacha faida yake huwa ni kubwa zaidi, itategemea na mtaji wa mfugaji, lakini kama mfugaji ataweza kuanza na mradi wa mbuzi 50 inakuwa vizuri zaidi. Ukiwanunua mbuzi 50@ tsh.50,000/= utapata Milioni 2 na nusu, madume 2 kila moja likanunuliwa kwa tsh 75000/= kwa madume mawili itagharimu tsh laki moja na nusu. Usafirishaji wa mbuzi hauzidi laki tatu na nusu. Kwa hiyo itajikuta ukiwa na milion 5 utaweza kuanza na mradi wa ufugaji wa mbuzi majike 50 na madume mawili,pamoja na kuwajengea sehemu ya ya kulala.

Kama nilivyoainisha hapo awali, mbuzi kwa mwaka wao huzaa mara 2, hivyo kama kila mbuzi atazaa hebu chukulia kila mbuzi atazaa mbuzi mmoja tu, ingawa kuna wengine watazaa mapacha hasa ukipata ile mbegu ya mbuzi wanaozaa mapacha, mwishoni mwa mwaka utakuwa na idadi ya mbuzi 100 wapya waliozaliwa na ukujumlisha na mtaji ule wa mbuzi 50 utakuwa na jumla ya mbuzi 150, hii ni ndani ya mwaka mmoja, pata picha utakuwa na mbuzi Idadi gani baada ya miaka 3 hasa ukizingatia kuwa wale watoto wa mbuzi watakapofikia miezi 8 utaanza kuwapandisha nao watazaa nk. Ili kufikia malengo, inashauriwa kuwa mbuzi wa mtaji wanaonunuliwa lazima wawe na umri mmoja ili kusudi waweze kupata mimba kwa wakati mmoja na waweze kuzaa kwa wakati mmoja pia.

Magonjwa ya mbuzi mengi yanafahamika na ni rahisi kudhibitika,hivyo mbuzi si rahisi kufa hovyo.

Toka mbuzi anapata mimba mpaka anazaa,hutumia muda wa wiki miezi mitano yaani siku 150.

Kwa sababu hili pia ni eneo langu nilililolisomea, nawaruhusu kwa wale wote wenye Interest na uanzishaji wa Mradi huu wa ufugaji wa mbuzi kuuliza swali lolote lihusulo ufugaji bora wa mbuzi nami nitajibu.Lengo likiwa ni lile lile la kusaidiana kama Watanzania ili kuondokana na hili lindi la umasikini.

Karibu kwa majadala.
Mkuu nakuomba ujiunge nasi WhatSapp kwenye group la Biashara na Wajasiriamali Tangaza Business Solutions utatufaa nakutusaidia juu ya elimu ya ujasiriamali.
Namba yetu ya WhatSapp ni 0785-074040
Karibu sanaaaa Mkuu
 
H

hamid mleke

New Member
Joined
Jan 19, 2016
Messages
2
Points
20
H

hamid mleke

New Member
Joined Jan 19, 2016
2 20
Hiyo biashara ya mbuzi biashara nzuri xana . .kwani ni lszima uanze na mbuzi hamsini ..je ukianza na mbuzi kumi haifai
 
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined
Nov 8, 2011
Messages
954
Points
250
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined Nov 8, 2011
954 250
Hiyo biashara ya mbuzi biashara nzuri xana . .kwani ni lszima uanze na mbuzi hamsini ..je ukianza na mbuzi kumi haifai
Ni wewe tu uamuzi wako. idadi yoyote ya mbuzi unaweza anza nayo
 
rasta got soul

rasta got soul

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
241
Points
225
rasta got soul

rasta got soul

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
241 225
Mkuu ningenda kujua ni majani ya aina gani ambayo mbuzi au kondoo akila yanampa afya tele? Pia kama kuna vyakula vingine ambavyo anayumia naomba unieleze ili nipate uzoefu kabisa. Maana hujaongelea chakula chao na gharama zake..
 
Michael Paul

Michael Paul

Verified Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
389
Points
500
Michael Paul

Michael Paul

Verified Member
Joined Nov 2, 2010
389 500
Mkuu tunashukuru kwa maelezo mazuri. Umenipa hamasa ya kuwa na "karanch" kangu...
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
3,025
Points
2,000
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
3,025 2,000
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba tuwasiliane kwa namba hii

0629141259
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,261
Points
2,000
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,261 2,000
mkuu ukipata wasaa tembelea mashamba ya mifugo utapata kila kitu.Nimewahi kutembelea shamba la narco Kongwa ,chuo cha mifugo Lita Mpwapwa na shamba la mifugo pale iringa mjini kama unaelekea kilolo wana mbegu nzuri sana ila wenye ngombe wazuri sana ni iringa
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
3,025
Points
2,000
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
3,025 2,000
mkuu ukipata wasaa tembelea mashamba ya mifugo utapata kila kitu.Nimewahi kutembelea shamba la narco Kongwa ,chuo cha mifugo Lita Mpwapwa na shamba la mifugo pale iringa mjini kama unaelekea kilolo wana mbegu nzuri sana ila wenye ngombe wazuri sana ni iringa
Shukrani lakini je hao ng'ombe wa iringa si watakuwa wanastawi sana mazingira ya baridi? mimi nataka nifugie kijijini kwetu mkuranga pwani
 
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
5,095
Points
2,000
Come27

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
5,095 2,000
Iringa ktk shamba la kitulo. Nasikia na Asas nae shamba Lake lipo vizuri sijajua kama hizi breed za bongo ni pure breed. Maana Kuna michezo ya kununua Ng'ombe ambaye kachanganywa sio pure breed
 
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Messages
7,454
Points
2,000
Wonderful

Wonderful

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2015
7,454 2,000
Nenda kwenye maduka ya pembejeo wewe.
Huko wana mbegu aina zote mpaka za michongoma!
 
M

Mahundi Jr

Member
Joined
May 25, 2015
Messages
32
Points
95
M

Mahundi Jr

Member
Joined May 25, 2015
32 95
Naomba kupata taarifa au ujuzi juu ya ufugaji wa mbuzi katika zero grazing. Taarifa juu ya aina ya chakula (formula ya chakula na ulisha) pamoja na chanjo. Asanteni
 
aikaruwa1983

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
1,400
Points
2,000
aikaruwa1983

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
1,400 2,000
Wafugaji mpo au inakuaje humu!!
 
Miiku

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Messages
3,673
Points
2,000
Miiku

Miiku

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2014
3,673 2,000
Heshima kwako mkuu, the idea is sweet but for me you have to be so elaborative on how to share your idea.
Kitomari anatuhumiwa kuingiza wadau mjini hapa hapa Jf . Tujihadhari nae.
mkuu wapi naweza pata hao mbuzi wa maziwa jamani nahitaji kwa kweli MKUU Kitomari NIMEM PM WALA HAJIBU SIJUI NATAKA KUPIGIWA????????????????
 

Forum statistics

Threads 1,343,269
Members 514,998
Posts 32,778,369
Top