Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Vifaranga vya bata aina ya mallard, jumbo perkin, khak Campbell blue Swedish na Ruen vinapatikana CHANIKA KWA SINGA
Bei tsh 10000 kwa mmoja
Umri kuanzia 3 days mpk 7 days
Call 0746696878

36F9D641-CF42-4CF9-9CC8-BA480C7E8AF1.jpeg
 
Mkuu hata hawa bata wa kienyeji imagine ukafuga ukawa nao kama 200, huo ni mradi tosha.
Na ndio maana kuna sehemu ktk hili chapisho nimeandika unaweza jikuta umeamka tajiri kupitia ufugaji. Mfano bata wa kienyeji wanauzwa 20,000x200= 4,000,000 pesa kama hiyo haitoshi kuanza biashara ingine?
kama soko la kuwauza kwa pamoja likiwepo
 
Mkuu hata hawa bata wa kienyeji imagine ukafuga ukawa nao kama 200, huo ni mradi tosha.
Na ndio maana kuna sehemu ktk hili chapisho nimeandika unaweza jikuta umeamka tajiri kupitia ufugaji. Mfano bata wa kienyeji wanauzwa 20,000x200= 4,000,000 pesa kama hiyo haitoshi kuanza biashara ingine?
Soko lake gumu pia
 
Mwny uhitaji wa black Swedish , mallard na Muscovy
Call 0746696878
Wapo chanika kwa singa

29F74265-5AF4-4BAC-ADFF-16944637A033.jpeg

C0883FA2-3C53-4B50-86DB-862986370F16.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom