ufugaji kwenye makazi ya kuishi watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ufugaji kwenye makazi ya kuishi watu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mkurugenzi1, Apr 19, 2009.

 1. m

  mkurugenzi1 Senior Member

  #1
  Apr 19, 2009
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za weekend wana JF wenzangu?
  Bila shaka nyote ni wazima; wale wenye matatizo basi wote kwa pamoja tuwaombee wenzetu wapate unafuu kwa yale yote yanayowasibu.

  Nina jambo moja naomba nisaidiwe.

  Je kuna sheri ya makazi na ufugaji? kama ipo naomba nifafanuliwe inasemaje?.
   
Loading...