Me nadhani ufugaji wa kuku uko vizuriNi ufugaji upi unaoweza nipatia faida kwa haraka Zaid Kati ya ufugaji wa nguruwe na ufugaj wa kuku ? Naombeni na sababu Wana jamvi
Mkuu nielekeze huko wanakouza pure breeds kwa laki 2 nikanunue.Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.
Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.
Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.
Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.
Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
Umefafanua vyema ila bei ya pig let pure breed bei imesimama kwakweli, na kwa ufugaji naamini wote mwanzo unatumia pesa bila ya kurudi pale ulipoitoa, mpaka baada ya muda fulani ndio faida utaanza kuiona pindi matokeo yatakapo anza kutokea.Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.
Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.
Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.
Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.
Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
Nikumbushe mwezi wa 12 kuna jamaa yangu mimi natarajia kuwapata kupitia kwake tumeambiwa makinda yatakuwa tayari mwez12Mkuu nielekeze huko wanakouza pure breeds kwa laki 2 nikanunue.
Maelezo mazuri sana.Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.
Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.
Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.
Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.
Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
Nitakukumbusha bila kukosa mkuu.Nikumbushe mwezi wa 12 kuna jamaa yangu mimi natarajia kuwapata kupitia kwake tumeambiwa makinda yatakuwa tayari mwez12
Sory nimechelewa kukujibu,Maelezo mazuri sana.
Ninafuga nguruwe pia, nimefuga hawa crossed(sio locals sio pure)
Nahitaji kujifunza, unahisi nikitaka kufuga hizi pure breeds nikilenga wapi hasa patanilipa.
Kuwa breeder au kwaajili ya nyama, ukizingatia bei ya pure breed pamoja na gharama ya kuwatunza ili niweze kufikia matunda yao vyema kabisa..
Habari Ndugu hapo kwenye matetea 200 wa chotara unaweza kutoa muongozi wa gharama za ulishaji tangu wakiwa vifaranga na walivyofikia hatua ya kuanza kutaga chakula ilikugharimu kiasi gani kwa kila mwezi na ni chakula gani unawapatia kile cha kiwandani au pumba za mahindi.Ok,
Kwanza ipo tofauti kiuwekezaji kwenye fugo hizi mbili,kuku itakutaka pesa kidogo kuwekeza ili walau upate kipato lakini nguruwe itakutaka uwekeze pesa nyingi ili walau uone faida.
Mfano kinda mmoja wa Nguruwe wakienyeji anaanzia 50000 na pure breed wanauza kinda kuanzia 200,000.
Ukilinganisha kifaranga wa kuku chotara anauzwa 1400,wamayai 2500,broiler anarange 1000-1500.
Hivyo tutakubaliana kwamba kwenye kuku panahitaji kiwango kidogo cha pesa cha uwekezaji ukilinganisha na nguruwe.
Kama utaanza na nguruwe wachache itakuhitaji muda mrefu kuanza kuona faida ya ufugaji.
Chukua mfano wa mimi nina wastani wa matetea 200 wa chotara ambao ninapata 400000-500000 faida kwa mwezi kwa kuuza mayai.
Nimeanza kufaga nguruwe sasa ni kama mwezi hivi hivyo bado sina maarifa yakukupatia kwakua bado ni mchanga,hata hivyo wanaenda vizuri,nguruwe nilioanza nao ni local breed ambao Mungu akipenda nitahamia kwenye pure breed ili nipate matokeo zaidi.
All in all kufuga ni kuzuri.
Vifaranga lazima wapatiwe starter walau kwa mwezi mmoja,na kwa kila vifaranga 100 chotara watakuhitaji 50kg ya starter kwa mwezi,na baada ya mwezi kuisha sasa unatakiwa kianza kuwachanganyia mwenyewe ili kuokoa gharama.Habari Ndugu hapo kwenye matetea 200 wa chotara unaweza kutoa muongozi wa gharama za ulishaji tangu wakiwa vifaranga na walivyofikia hatua ya kuanza kutaga chakula ilikugharimu kiasi gani kwa kila mwezi na ni chakula gani unawapatia kile cha kiwandani au pumba za mahindi.
Unao?Wewe upo wapi
Mimi kwa upande wangu naamini zaidi kwenye usimamizi ktk mradi wote, haijalishi ni mfugo gani unafuga, ukiweka macho,juhudi,uangalizi makini,vyakula, USAFI WA MABANDA,chanjo kamili kwa kufwata mtiririko naamini utafikia lengo, hapa nimezungumzia uzoefu nilioupata kwa baadhi ya mifugo niliyokwisha ifuga,Kuku,Mbwa,Mbuzi,Bata.Nguruwe inalipa zaidi.Kuku wana magonjwa mengi mno!
Hivi hizo mbegu duni mnazitoa Wapi. Miezi 2-3 huyo ni nguruwe anafaa kuliwa. Bei ya 5O ni nguruwe was wiki 2 au 3Sory nimechelewa kukujibu,
Mara zote mbegu inalipa kuliko kuuza bidhaa kwa matumizi mengine,
Chukua mfano wa mahindi ambayo sokoni kwa sasa 1kg=600 lakini 1kg ya mbegu ya mahindi yanafika mpaka zaidi ya 7000 hivyo ni wazi kwamba kuwa breeder kunalipa zaidi.
Pia kinda wa nguruwe local wa miezi 2-3 ni around 50,000 lakini kinda wa durock(mbegu) wa umri huo anafika mpaka 1,000,000.
Hata hivyo kuwa breeder kunahitaji kujipanga sana kimtaji hivyo unaweza kuanza taratibu huku ukijiwekea malengo naamini hakuna linaloshindikana kama utajibidiisha.
Nguruwe wa wiki mbili unamnunua na mama yake?Nguruwe wa wiki mbili hawezi kuuzwa kwani bado ananyonya.Hivi hizo mbegu duni mnazitoa Wapi. Miezi 2-3 huyo ni nguruwe anafaa kuliwa. Bei ya 5O ni nguruwe was wiki 2 au 3