Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

Status
Not open for further replies.
Nimesikia Breaking News ITV.Nimeshtushwa sana kusikia Taarifa hii.It's so Sad

Ufoo Saro Muda huu yupo Hospitali amejeruhiwa kwa Risasi Tumboni na Mguuni.

Mama yake amepigwa Risasi Kifuani na Huyo Mchumba wake amejipiga Risasi kidevuni na kufa papo hapo.Hali ya Ufoo Saro hadi sasa haijulikani ikoje

Jeshi la polisi limetangaza kuwa linachunguza kujua ndugu za huyo mume wake.Inasemekana ni Mfanyakazi wa UN

Tukio limetokea leo alfajiri eneo la Kimara.

Inasikitisha sana, inaonekana ni visa vya kimahusiano.. Dah Jamaa alichukua hatua kali sana bila kufikiria..
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mtu mmoja anaesadikika kuwa mume mtarajiwa wa Ufoo Saro Bw. Mushi amemjeruhi mwandishi huyo wa Itv na mchumba wake kwa kumpiga risasa ya tumboni na kisha kumpiga mama mzazi wa Ufoo Saro na kufariki hapohapo kisha yeye mwenye kujiua.

Source RADIO ONE Breaking news
Dah... so sad!! Huwa nampenda na kumkubali sana huyu dada/reporter.. mapenzi haya jamaa sijui wamemkosea nini hadi kuamua kuwamaliza! Nakuombea upone mapema Ufo na pole sana kwa kumpoteza mama mzazi
 
sudan!! mjeshi nini - damu kawaida!! Masikini kijana wetu Ufoo - Mungu amsaidie apone haraka
 
Mijitu mingine sijui ikoje. Badala ya kumwaga sera ikubaliwe inalazimisha mapenzi. Hili lichaga sijui vipi; kukataliwa ndio inapelekea mauwaji? Wananwake si wako wengi, kwani lazima Ufoo? Rest in Hell jinga Mushi.

sisi binadamu ni watu wa ovyo sana afadhari ya kondoo kuliko kiumbe kinachoitwa binadamu
 
Very sad. Mtu unalala mzima na kila kitu chako kumbe kuna baada ya masaa machache mbele kuna balaa litakufika.
Rip Bi mkubwa wa Ufo Saro. And get well bi dada reporter wetu.

Huyu dada mwanangu akimskia sauti tu ananambia 'mama uyo Ufo Saro anaeongea.'

Hata mimi napenda sana lafudhi yake.
 
=> ♡♡ KUNA STAGE ikifika ktk MAHUSIANO hakuna kurudi nyuma tena....MFANO UCHUMBA....au MWANAMME KAMTUNZA MKE MTARAJIWA KWA MIAKA KADHAA...SAY 3 yrs NA KUENDELEA....na familia zote mbili zinajua.....MMOJA AKIGEUKA NI HATARI KWELI.....huenda mmewe mtarajiwa kajitoa kwa hali na mali....then mwishowe mwanamke kaanza kumgeuka......hatari kweli....

=> Labda HUYO MUMEWE mtarajiwa ndio kamtunza Ufoo Saro miaka kwa miaka alafu demu kaanza kumkataa...asimuoe...au...kajua wazi anamsaliti na huenda kamuonya asimsaliti....au demu kampa live
hataki kuolewa nae na huku jamaa kagharamika
miaka kwa miaka....so kaamua wote wafe....

==> ni kitu cha hatari kweli...hasa mwanaume anapogharamika kwa miaka...halafu mwanamke mwishoni labda amkatae....ni hatari sana.....


ni wivu wa mapenzi, amepigwa risasi na mtu anaedhaniwa kuwa ni mchumba ama mume wake,katika eneo la kibabmba

mchumba/mume huyo,amempiga risasi na kumuua papo hapo,mama mzazi wa ufuo saro,na kisha kujipiga na yeye mwenyewe,na kufa papo hapo pia
 
Wabunge wetu rekebisheni sheria ya kumiliki silaha.
Marekani kwenyewe Obama aliapa kurekebisha mfumo wa kumiliki silaha lakini naona sisi tunasubiri maafa mazito zaidi ili tujue siku hizi huku mtaani bastola ni kama leso ya kufutia jasho!
 
=> Labda HUYO MUMEWE mtarajiwa ndio kamtunza Ufoo Saro miaka kwa miaka alafu demu kaanza kumkataa...asimuoe...au...kajua wazi anamsaliti na huenda kamuonya asimsaliti....au demu kampa live
hataki kuolewa nae na huku jamaa kagharamika
miaka kwa miaka....so kaamua wote wafe....

==> ni kitu cha hatari kweli...hasa mwanaume anapogharamika kwa miaka...halafu mwanamke mwishoni labda amkatae....ni hatari sana.....

Mkuu ulichoongea inawezekana kina ukweli hawa viumbe huwa ni vigeugeu sana.Ngoja tusubiri uchunguzi.R.I.P. mama
 
Duh, kumbe alikuwa bado hajaolewa!! Poleni wafiwa na majeruhi wote,mungu awarudishie afya haraka! Poleni itv.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom