Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

Status
Not open for further replies.
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mtu mmoja anaesadikika kuwa mume mtarajiwa wa Ufoo Saro Bw. Mushi amemjeruhi mwandishi huyo wa Itv na mchumba wake kwa kumpiga risasa ya tumboni na kisha kumpiga mama mzazi wa Ufoo Saro na kufariki hapohapo kisha yeye mwenye kujiua.

Source RADIO ONE Breaking news

Nimesikia Breaking News ITV.Nimeshtushwa sana kusikia Taarifa hii.It's so Sad

Ufoo Saro Muda huu yupo Hospitali amejeruhiwa kwa Risasi Tumboni na Mguuni.

Mama yake amepigwa Risasi Kifuani na Huyo Mchumba wake amejipiga Risasi kidevuni na kufa papo hapo.Hali ya Ufoo Saro hadi sasa haijulikani ikoje

Jeshi la polisi limetangaza kuwa linachunguza kujua ndugu za huyo mume wake.Inasemekana ni Mfanyakazi wa UN

Tukio limetokea leo alfajiri eneo la Kimara.
 
Breaking News from ITV - Kijana Mushi anayeripotiwa kuwa ni mume au mchumba wa Ufuo Saro mtangazaji ITV amempiga risasi ya kifuani mama mkwe wake na kupelekea kifo chake leo alfajiri. Mushi amempiga risasi ya tumbo na mguuni Ufuo ambaya mpaka sasa anaendelea na matibabu. Tukio hili limetokea Kimara.

Mkuu hepu kaa chini uandike hiyo habari vizuri,hakuna mtu anaekufukuza mume wake mchumba wake?kuna vitu viwili hapo
 
Nimesikia Breaking News ITV.Nimeshtushwa sana kusikia Taarifa hii.It's so Sad

Ufoo Saro Muda huu yupo Hospitali amejeruhiwa kwa Risasi Tumboni na Mguuni.

Mama yake amepigwa Risasi Kifuani na Huyo Mchumba wake amejipiga Risasi kidevuni na kufa papo hapo.Hali ya Ufoo Saro hadi sasa haijulikani ikoje

Jeshi la polisi limetangaza kuwa linachunguza kujua ndugu za huyo mume wake.Inasemekana ni Mfanyakazi wa UN

Tukio limetokea leo alfajiri eneo la Kimara.

Kweli inapain sana kamanda Mungu amlaze mama yetu mahali pema !
 
Poleni sana wafiwa.

Wanawake/ Wasichana kuweni makini na wanaume wakuokota barabarani.
 
Nimesikia Breaking News ITV.Nimeshtushwa sana kusikia Taarifa hii.It's so Sad

Ufoo Saro Muda huu yupo Hospitali amejeruhiwa kwa Risasi Tumboni na Mguuni.

Mama yake amepigwa Risasi Kifuani na Huyo Mchumba wake amejipiga Risasi kidevuni na kufa papo hapo.Hali ya Ufoo Saro hadi sasa haijulikani ikoje

Jeshi la polisi limetangaza kuwa linachunguza kujua ndugu za huyo mume wake.Inasemekana ni Mfanyakazi wa UN

Tukio limetokea leo alfajiri eneo la Kimara.

Very sad. Mtu unalala mzima na kila kitu chako kumbe kuna baada ya masaa machache mbele kuna balaa litakufika.
Rip Bi mkubwa wa Ufo Saro. And get well bi dada reporter wetu.

Huyu dada mwanangu akimskia sauti tu ananambia 'mama uyo Ufo Saro anaeongea.'
 
Du!very sad.pole sana Ufoo Saro na Mungu mweza wa yote aiweke roho ya mama yako mahala pema peponi.AMINA.
 
kaka hakutaka kwenda kusota segerea.akaona ajihukumu mwenyewe,wanawake msicheat
 
Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mtu mmoja anaesadikika kuwa mume mtarajiwa wa Ufoo Saro Bw. Mushi amemjeruhi mwandishi huyo wa Itv na mchumba wake kwa kumpiga risasa ya tumboni na kisha kumpiga mama mzazi wa Ufoo Saro na kufariki hapohapo kisha yeye mwenye kujiua.

Source RADIO ONE Breaking news

Mijitu mingine sijui ikoje. Badala ya kumwaga sera ikubaliwe inalazimisha mapenzi. Hili lichaga sijui vipi; kukataliwa ndio inapelekea mauwaji? Wananwake si wako wengi, kwani lazima Ufoo? Rest in Hell jinga Mushi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom