UFISADI wizara ya ELIMU

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Je kupiga dili la kupoitisha majina HEWA inaweza kuanguka katika category ya UFISADI?

If so then we have a MASSIVE problem kwani nadhani wizara hii inaongoza kwa wafanyakazi hewa..hili waziri nalijua lakini la ajabu hakuna kinachofanywa

Hii inaudhi sana ukizingatia kuna waalimu wanafanya kazi kwa utiifu lakini wanaangushwa kwa kuambiwa waendelee kusubiri eti 'something is being worked on'
 
Mimi mtanisamehe bure! Waalimu siwahurumii kabisa kwa sababu wanashiriki kwa asilimia 100 kuiba kura na kuwaweka mafisadi madarakani. sasa vuneni mlichopanda.
 
they are majority voter, they have to the the student the truth( they will be fired)
 
Back
Top Bottom